Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg




Naona jamaa kawatupia mapepo ya CCM akina mama wanaangaika kwelikweli, pole sana.
 
unaongelea TAZAMA gazeti linaloongelea FREEMASONS daily? gazeti ambalo hata ukinifungia vitumbua siwez kuvila?
 
huyo mtoto ni nani ndani ya chadema? Msitubambikie mamluki
 
hivi katika kulijenga taifa mpaka kila kijana awe mbunge?mbona chadema mnatia aibu?
 
Kijana tuna mkubali om, chadema wakikosea kumpa mwingine agombee jimbo litabaki ccm.....tunaiman na zakayo wangwe
 
Mwaka 2015 ndivyo mnatakojua kuwa CCM ni legelege au vipi

unamtisha nani wewe ? Kwani una kura ngapi ? Si moja tu ! Safari hii hamtamwibia mtu yoyote KURA , Patachimbika , hakuna mdembwedo msimu huu .
 
Damu ya chacha wangwe ( rest in peace) sasa rasmi inaitafuna chadema
 
jipe moyo! Najua una stress, tuliwapiga 4-0 arusha, dodoma tukawalamba mpwapwa, mpulukano, n.k tutawapiga na bukoba ndipo utakapojua cdm ni nini.
Tukawagaraza kwenye mitaa 19 jijini Dsm tena kwenye majimbo ya kawe na ubungo
 
Back
Top Bottom