Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

ww ndio mtoa roho za watu?? chadema yafwaaaaaaaaaa

kidumu chama cha mapinduzi, chama cha watu, chama cha wanyonge, chama cha masikini

inapaa kuelekea kuzimu

chadema ni genge la wasaka madaraka, wapigaji na wapiga dili

chadema inakaribia kufa

hawa ni wapiga dili hawa, wajasiriamali wa siasa. vijana wengi wanadanganyika na madaraka ndio mana wanaona chadema ni kibonde cha kufikia malengo

kama baba yake aliuawa yeye atapona??

''MY TAKE; HAWA VIJANA WANGEJIKITA KWENYE KUKIJENGA CHAMA BADALA YA KUKIMBILIA UBUNGE. UNAWEZA KUUTAMANI UBUNGE LAKINI UKAWA UMEKIHARIBU CHAMA UKAKOSA VYOTE.''

Hivi katika Hii thread yako ulichokiandika hapo kweny Blue ulikuwa unamshauri nani? kwani unavyoendelea kujichangia mwenyewe kwenye hii thread yako unaonekana ni Mburura hasiye na upeo wowote na hii ndivyo mlivyo nyie magamba.
 
kwa mtu ambaye asiyetazama mambo kwa kina hawezi ng'amua, CDM inafurahia vijana active kuendelea kukiunga mkono , wakati ccm inasikitika inapotokea vijana timamu, makini na wakakamavu wakijiunga nacho ndio nikatoa mfano wa ulegelege wa ccm
ujinga unakusumbua, kwa hiyo wazee, watu wazima ni uchafu kwa chadema?? mbona upo low sana kwenye kujenga hoja
 
''MY TAKE; HAWA VIJANA WANGEJIKITA KWENYE KUKIJENGA CHAMA BADALA YA KUKIMBILIA UBUNGE. UNAWEZA KUUTAMANI UBUNGE LAKINI UKAWA UMEKIHARIBU CHAMA UKAKOSA VYOTE.''

Hivi katika Hii thread yako ulichokiandika hapo kweny Blue ulikuwa unamshauri nani? kwani unavyoendelea kujichangia mwenyewe kwenye hii thread yako unaonekana ni Mburura hasiye na upeo wowote na hii ndivyo mlivyo nyie magamba.

ukisikia ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, ujue limekupata. pole sana. wazee wa ujasiriamali wa politiki
 
Ikulu ni mahali patakatifu. hawalali wazinzi pale

Labda unazungumzia utakatifu a kuepa na kufisadi! Watoto wa huyo aliyepo wakiambiwa wapange mstari, wataanzia magogoni hadi kawe. Hapo hujaweka mashost, vimada ....!
 
ww ndio mtoa roho za watu?? chadema yafwaaaaaaaaaa

kidumu chama cha mapinduzi, chama cha watu, chama cha wanyonge, chama cha masikini

inapaa kuelekea kuzimu

chadema ni genge la wasaka madaraka, wapigaji na wapiga dili

chadema inakaribia kufa

hawa ni wapiga dili hawa, wajasiriamali wa siasa. vijana wengi wanadanganyika na madaraka ndio mana wanaona chadema ni kibonde cha kufikia malengo

kama baba yake aliuawa yeye atapona??

ukisikia ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, ujue limekupata. pole sana. wazee wa ujasiriamali wa politiki

Naona Unaendelea kujivua nguo na ubongo kuuacha uchi pole sana.
 
1175227_507455202670132_1102969834_n.jpg

Walahi nimeipenda hii picha,jamani hii kweli ndio JF?
 
gazeti tazama tanzania hawajawai hata siku mmoja kuongea mazuri ya CHADEMA so wapendwa kuweni makini na magazeti kama haya na lipo lingine lina jiita SAUTI HURU hilo nila shabesh patel yule fisadi papa,mhariri ni PRINCE BAGENDA
 
hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg

Nimeipenda sana post hii jamani!
 
Naona Unaendelea kujivua nguo na ubongo kuuacha uchi pole sana.

huna hoja wewe, mtoto mdogo sana ktk uwanja wa siasa. tumika ukijastukia jua limezama. sorry,una sumu hapo?
 
gazeti tazama tanzania hawajawai hata siku mmoja kuongea mazuri ya CHADEMA so wapendwa kuweni makini na magazeti kama haya na lipo lingine lina jiita SAUTI HURU hilo nila shabesh patel yule fisadi papa,mhariri ni PRINCE BAGENDA

vipi kuhusu tz daima/dumuzi. udaku wao huwa unahusu nini
 
''MY TAKE; HAWA VIJANA WANGEJIKITA KWENYE KUKIJENGA CHAMA BADALA YA KUKIMBILIA UBUNGE. UNAWEZA KUUTAMANI UBUNGE LAKINI UKAWA UMEKIHARIBU CHAMA UKAKOSA VYOTE.''

Hivi katika Hii thread yako ulichokiandika hapo kweny Blue ulikuwa unamshauri nani? kwani unavyoendelea kujichangia mwenyewe kwenye hii thread yako unaonekana ni Mburura hasiye na upeo wowote na hii ndivyo mlivyo nyie magamba.
mkuu, si ummwagie tindikali tu huyu kama kawaida yenu??? anaudhi kweli kusema sema ukweli hapa
 
hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg

Hao kina mama wamepandwa na pepo wachafu au....
 
Hivi kwenye hii picha walikuwa wanafanya nini ? ni ni wapi hapa ? mbona kama wamepagawa...Naomba anaelewa what exactly was happening here anisaidie....

Back
Top Bottom