Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

sasa hii picha ina uhusiano gani na mgogoro ndani ya chadema
Tofauti ya CCM na CHADEMA ni; CCM wanajua kupanga mbinu na wanazitekeleza, CHADEMA wao wanategemea kudra ya Mungu. CDM tobadilike la sivyo yatatukuta kama ya Shangalai kule Zimbabwe.
 
Hao kina mama wanalala lala nini tena hapo chini kwenye hiyo picha?
Haki ya mungu kweli wajinga ndio tunaopumbazika,wanasikitisha sana,

Hatari sana
 
249166_3194538225964_888897472_n.jpg
Mkuu nguvumali ...wanaombewa mapepo yatoke au?
 
Last edited by a moderator:
hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg
hii picha sijaielewa jamani! walikuwa wanafurahia, wanapigana, wanacheza, wanatolewa mapepo then wanaanguka au?
 
Chadema hamkosi mambo nyie, lile la ugombea Urais 2015 mshalimaliza?? vp Zito anaweza gombea uwenyekiti?? Urais je?? kwanini hamfanyi uchaguzi?? slaa ama mbowe 2015?? ama zito?? kwanini Lema asigombee Urais 2015 au tayari ameshaupata?? mnyika hafai 2015??
 
Chadema ilimtosa chacha wangwe, sasa kizazi chake kimeibuka upya
 
hii picha sijaielewa jamani! walikuwa wanafurahia, wanapigana, wanacheza, wanatolewa mapepo then wanaanguka au?
Chadema ni wauwaji. Wanalisha watu sumu na kuwamwagia tindikali
 
Back
Top Bottom