Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

Mkuu, CHADEMA ilishakufa. inasubiri kuzikwa tu rasmi 2015

Endelea kuwa na ndoto za kusubili kuwa cdm itakukufa mie sikwambia,'kama jamaa mmoja baada ya kuambiwa chama chao kitakufa akiwambia wanaokisema hicho chama kitakufa watakufa wao'Endelea kuwa na ngoja ngoja mwishowe utaumiza tumbo,sie tupo field huku Chadema tupo imara na ukitaka kujua hilo ,njoo ujionee.
 
Vita ya PANZI furaha ya KUNGURU!

Nabashiri Kunguru (CCM) watalichukua Jimbo la TARIME.
 
kila kijana anajua chama gani kitaleta neema na maisha bora ambayo ccm kwa takribani miaka 50 wameshindwa na kuishia na ahadi lukuki kwenye makabrasha, Haya shime vijana wakakamavu, makini na wenye kuayaona mambo kama kuna wachache mmebaki ccm tokeni waacheni hawa wabibi kama hawataki kuhama maana psychologically ukifika umri huo kasi yako yakutafakari mambo huanza kupungua si kosa lao.

1014423_588430331201914_1454476242_n.jpg
 
huyo bibi anajua nini maana ya CCM na ndo maana ameendelea kuwa mfuasi wa chama hicho. nyie mburula mmekuja juzi tu mnaanza kutukana tukana wakati chama chenu hata ofisi hakina
 
Yaani kuna point ya ushabiki ikifikia, inakuwa imani sio siasa tena.
 
Umeleta habari za Tarime hiyo habari ya Kufa CDM ni huko tarime au? maana hata Wassira alitamka hayo lakini ndiyo kwanza inazidi kupaa.

acheni kujidanganya bana. kinapaa wapi wakati mnashindwa hata kutwaa nafasi za mwenyekiti wa kitongoji hapa Dar
 
hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg
Kwa jina la CCM nakuamuru pepo tokaaaaaaaaaaa!!!!
 
kila kijana anajua chama gani kitaleta neema na maisha bora ambayo ccm kwa takribani miaka 50 wameshindwa na kuishia na ahadi lukuki kwenye makabrasha, Haya shime vijana wakakamavu, makini na wenye kuayaona mambo kama kuna wachache mmebaki ccm tokeni waacheni hawa wabibi kama hawataki kuhama maana psychologically ukifika umri huo kasi yako yakutafakari mambo huanza kupungua si kosa lao.

1014423_588430331201914_1454476242_n.jpg

kidumu chama cha mapinduzi, chama cha watu, chama cha wanyonge, chama cha masikini
 
huyo bibi anajua nini maana ya CCM na ndo maana ameendelea kuwa mfuasi wa chama hicho. nyie mburula mmekuja juzi tu mnaanza kutukana tukana wakati chama chenu hata ofisi hakina
BIBI KAMA HUYU NDIO UWEKEZAJI ULIOBAKIA KWENYE CCM, lakini kwa kijana yoyote mkakamavu hawezi kubaki kwenye kusanyiko la watu wa aina hii ambapo hawana haja yakuitazama future ya Tanzania ili hali jua limetua tayari

1014423_588430331201914_1454476242_n.jpg
 
chadema ni genge la wasaka madaraka, wapigaji na wapiga dili
 
hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg

Haya sasa mapepo si bure!!!
 
Back
Top Bottom