Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

CHADEMA imepata njia rahisi sana ya kuondoa mgawanyiko miongoni mwa wanaTarime 2015 endapo Heche na Waitara wangeingia ulingoni.Njia hii rahisi ni kumpa mtoto wa Chacha Wangwe agombee itasaidia kuzileta kambi zote mbili upande wa Zakayo Wangwe isitoshe ni Msomi kijana anayekubalika sana huko Tarime.
 
Slaa mtu hatari sana kwa wake za watu

Ha ha haaaaaa ,na hiyo ndiyo iliyosababisha ashindwe uraisi 2010. Kina mama waliofika kwenye mikutano yake ya kampeni walimchanganya hadi akajikuta ana kesi ya UGONI....
 
Mkuu nape alikuwa anapunga mapepo nini?

hayo ni mawazo yako....chama kuwa na hazina ya vijana hodari ni ishara kuwa sasa kimeingia kabisa katika mioyo ya vijana na watu wa kizazi kipya.
ccm wamebaki na vibabu ambukizi na vijana wachache dhaifu na legelege.

249166_3194538225964_888897472_n.jpg
 
imeandikwa wapi, TAZAMA? Huyo ni Prince Bagenda na ushushushu wake. Kweli njaa haina adabu!
 
View attachment 106977View attachment 106978View attachment 106981

Kilichomo kwenye attachment kwa ufupi,

1. Upo mgogoro mkubwa wa kiuongozi ndani ya CHADEMA jimbo la Tarime, chanzo ni ubunge tangu mwaka 2008 alipofariki Chacha Wangwe.

2. Heche, Mwita Waitara wapo kwenye msuguano mkali wa nani hasa atakayegombea jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA. Mwita aligombea 2010 akabwagwa na Nyambari Nyangwine wa CCM, sasa anajiona ana mtaji wa watu huku Heche akimtuhumu Mwita kuwa ndio aliyepoteza jimbo.

3. Mtoto wa Chacha Wangwe aitwaye Zakayo ameibuka kwa kasi ya ajabu na kuonekana kuungwa mkono na wakazi wa Tarime kwamba ndiye mrithi wa viatu vya baba yake katika jimbo hilo kama atagombea kupitia CHADEMA au kupitia chama chochote.

4. Mwita bado haaminiki asilimia mia moja na wananchi wa Tarime kwa historia yake ya makuzi ndani ya CHIPUKIZI na UVCCM ambapo alifikia cheo cha katibu wa vijana mkoa kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 2008.

5. Uongozi wa CHADEMA taifa unaonekana kumpendelea Heche ktk siasa za Tarime kitendo kinachomuudhi sana Mwita.

MY TAKE; HAWA VIJANA WANGEJIKITA KWENYE KUKIJENGA CHAMA BADALA YA KUKIMBILIA UBUNGE. UNAWEZA KUUTAMANI UBUNGE LAKINI UKAWA UMEKIHARIBU CHAMA UKAKOSA VYOTE.

I concur with "your take"
 
Kinachoonekana ni uchu wa madaraka. Hawa jamaa wanahitaji kukaa chini na kujenga chama. Kiukweli chama kipo katika hali mbaya kwa sasa. Kuna vugu vugu zito ndani kwa sasa. SSidhani kama wanaliona hili.
 
Mkuu, CHADEMA ilishakufa. inasubiri kuzikwa tu rasmi 2015

Mkuu nina hakika unazungumzia CCM, kama unabisha subiri uchaguzi wa Bukoba ndo utapata majibu. Lakini kwa njinsi ilivyo CCM Taifa itawarudisha kwa ajiri ya kuogopa kupoteza viti hivyo na kumpoteza meya pia kwani nina uhakika vyote VITI vitasombwa .
 
View attachment 106977View attachment 106978View attachment 106981

Kilichomo kwenye attachment kwa ufupi,

1. Upo mgogoro mkubwa wa kiuongozi ndani ya CHADEMA jimbo la Tarime, chanzo ni ubunge tangu mwaka 2008 alipofariki Chacha Wangwe.

2. Heche, Mwita Waitara wapo kwenye msuguano mkali wa nani hasa atakayegombea jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA. Mwita aligombea 2010 akabwagwa na Nyambari Nyangwine wa CCM, sasa anajiona ana mtaji wa watu huku Heche akimtuhumu Mwita kuwa ndio aliyepoteza jimbo.

3. Mtoto wa Chacha Wangwe aitwaye Zakayo ameibuka kwa kasi ya ajabu na kuonekana kuungwa mkono na wakazi wa Tarime kwamba ndiye mrithi wa viatu vya baba yake katika jimbo hilo kama atagombea kupitia CHADEMA au kupitia chama chochote.

4. Mwita bado haaminiki asilimia mia moja na wananchi wa Tarime kwa historia yake ya makuzi ndani ya CHIPUKIZI na UVCCM ambapo alifikia cheo cha katibu wa vijana mkoa kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 2008.

5. Uongozi wa CHADEMA taifa unaonekana kumpendelea Heche ktk siasa za Tarime kitendo kinachomuudhi sana Mwita.

MY TAKE; HAWA VIJANA WANGEJIKITA KWENYE KUKIJENGA CHAMA BADALA YA KUKIMBILIA UBUNGE. UNAWEZA KUUTAMANI UBUNGE LAKINI UKAWA UMEKIHARIBU CHAMA UKAKOSA VYOTE.
nimesoma pote sijaona balaa lolote linaloongelewa, au ndiyo kuuza gazeti kwenyewe? hizi njaa zingine bana.
 
Kama haaminiki kwa kigezo cha UCCM mbona karibu CHADEMA yote itakuwa haiaminiki kwa maana kwamba ni wachache tu watakuwa hawana damu ya CCM.
 
Back
Top Bottom