Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

mpwa leo umeamua kututukana moja kwa moja?!!!LOL
 
mpwa leo umeamua kututukana moja kwa moja?!!!LOL

Ha ha ha ha, sina maana hiyo hii ni kwa ajili ya wazazi wenye watoto wanaowapa pombe je wewe mwanao unampa pombe??? na kama ni ndio acha mara moja.
 
hivi jamani mhh...mie cjui wazazi wengine tukoje kwa kweli.
 
Wazazi wazazi wake up!! hivi siku ukimkuta amelewa chakari utamlaumu nani?
 
sio kwamba wanapewa pombe wakiwa wamezaliwa - wakati wa tendo la ndoa wote BABA na MAMA wamelewa - hivi mbegu hazina pombe kweli??? Isitoshe MAMA mjamzito anakunywa pombe - mtoto ananyweshwa toka tumboni - halafu akizaliwa anaanza kunywesha - halafu zinawekwa kwenye fridge - lazima atakunywa tu - akiwa mlevi WAZAZI wananza kulalamika ....0hhhhhhhhh mwanangu ameharibika - ....... KWA KWELI PARENTS TUBADILIKE mambo mengine tuonaona ni MAENDELEO, USTAARABU, KUJIRUSHA ETC. KUMBE ........ NI KUKOSA MWELEKEO.
 
mpwa leo umeamka na sisi! hahahahaha
bia tutaendelea kunywa!
 
mpwa leo umeamka na sisi! hahahahaha
bia tutaendelea kunywa!

Narudia tena kwa sisi watu wazima tunajua unywaji na tunaweza kukukontro lakini ukimwanzishia mtoto mdogo hivi kinywaji akifika umri wetu itakuwaje? pombe sio haramu bali unakunywaje na wakati gani na una umri gani.
 
halaf hayo machupa wameyashika kitaalam kweli! hapa wazee inabidi wafanye kazi ovataim azawaizi bar ziongezwe. huo mchupa wa juu ni ekstra laji (XL), ukiumaliza ,mara ukiulizwa jina lako unataja la mkeo. khattar kubwa hii!
 
halaf hayo machupa wameyashika kitaalam kweli! hapa wazee inabidi wafanye kazi ovataim azawaizi bar ziongezwe. huo mchupa wa juu ni ekstra laji (XL), ukiumaliza ,mara ukiulizwa jina lako unataja la mkeo. khattar kubwa hii!

Inaelekea wakikua watafungua bar
 
au hizi windhuk hazinaga cha umri???? loh they will grow to be bruwaz!!!!
 
HAAAA Naskia wemetumiwa kama tangazo la biashara ukinitaja na wewe nayasema mambo yako dawa chungu
 
Lakini haya mambo yapo mtoto ananyweshwa Mbege ili alale mama afanye kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom