Mtoto uliemzaa anachukuwa akili za mama au baba?

Akili za mtoto itategemea na nani n mbumbu, kama mama n mbumbu bc atakuwa na akili za mama hvy hvy kwa baba
 
Nakumbuka mwlm wang wa biology alisema kama mama ni mbumbumbu na baba ni mbumbumbu usitegemee mtoto akawa na akili.... ila kwa mm ninavyojua akili ya mtoto inaanza kujengeka kwanzia pale mtoto anavyozaliwa ktk kuhakikisha malezi bora ktk maeneo mbali mbali kama Nutrition, Child protection, Early stimulation & health care.
Mkuu hapo Kwenye early stimulation unamaanisha punyeto?
Am kurios
 
Kama damu tu hashei na mama ake vipi akili achukue kwa mama ake acheni kutudanganya hapa.
 
Kwa mtazamo na uzoefu wangu...
Akili za mtoto zinafuata vinasaba ya kizazi SABA (7) kilichopita yaani mababu na mabibi...
FYI.. mwanao akifisha miaka 14 uwe macho !!
Sio miaka 14.

Akishaanza kuona na kusikia tu uwe macho.

Miska 14 ni wakati wa mtoto kupractice kile alichokiona na alichosikia kutokea anazaliwa mpaka anafikia umri huo.

Kwa hyo kwa mtu mwenye malezi mazuri ambayo kamlea mwanawe kwa usahihi basi huo ni umri wa kuangalia matunda ya vile alivyomlea utotoni.

Lakini pia katika umri huo kuna namna ya kumlea kwa sababu ni umri wa baleghe ama kuvunja ungo pia
 
MashaAllah... kwa ilm hiyo heshima na taadhima kwako.
Wengi wajifunze hii na wafuate ili wafaidike !!
 
Back
Top Bottom