Mtoto uliemzaa anachukuwa akili za mama au baba?

Hivi naomba kuuliza mtoto uliemzaa anachukuwa akili za mama au baba?
Nakumbuka mwlm wang wa biology alisema kama mama ni mbumbumbu na baba ni mbumbumbu usitegemee mtoto akawa na akili.... ila kwa mm ninavyojua akili ya mtoto inaanza kujengeka kwanzia pale mtoto anavyozaliwa ktk kuhakikisha malezi bora ktk maeneo mbali mbali kama Nutrition, Child protection, Early stimulation & health care.
 
Kama ni hivyo basi tukubaliane kuna natural skills kwasababu kuna watu hawapata hayo yote hapo juu but they are intelligent
 
Mtoto hachukui akili za yeyote yule ila kwa kiwango fulani mama huwa anamuathiri mtoto aliyetumboni kwa kumgawia kiwango fulani cha sehemu ya ubongo kijulikanacho kama "gray matter" hii ndo huwa inaamua mtoto wako ata act vipi na jamii yake (kuanzia kujifunza mpaka mazungumzo kwa kitaalamu huitwa "social cognition") ndiyo maana ubongo wa mwanamke husinyaa na kupungua ukubwa pindi akiwa na ujauzito.
Hivyo kwa kiwango fulani mama huchangia intelligence ya mtoto .
 
Yeah ndy hivyo... Kila mtu MUNGU kampa akili sema ndy tunatofautiana uwezo, matumizi na mazingira... maana akili si kusoma tu au kupata elimu..Akili ni zaidi.
 
Mtoto hachukui akili za yeyote yule ila kwa kiwango fulani mama huwa anamuathiri mtoto aliyetumboni kwa kumgawia kiwango fulani cha sehemu ya ubongo kijulikanacho kama "gray matter" hii ndo huwa inaamua mtoto wako ata act vipi na jamii yake (kuanzia kujifunza mpaka mazungumzo kwa kitaalamu huitwa "social cognition") ndiyo maana ubongo wa mwanamke husinyaa na kupungua ukubwa pindi akiwa na ujauzito.
Hivyo kwa kiwango fulani mama huchangia intelligence ya mtoto .
sio kuchangia intellence ya mtoto ni kuwezesha mtoto kudevelop intelligently; aquireness and able to save data to infnity
 
😂😂😂 umerudia kile kile nilichoandika , sio mbaya mkuu umejitahidi kuandika kwa uelewa wako😂😂
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom