Ukisaidia kusomesha watoto wa watu usiwe na mategemeo la sivyo utakuja kujuta

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,029
Nawabumbusha kuwa mtoto wako ambae anaweza kuja kukusaidia au kukumbuka fadhila kwa 70% ni mtoto wako uliemzaa yule uliemtoa kiunoni kwako au yule uliyembeba tumboni kwako huyo ndio wa kuhangaika nae kwa 100%

Ukilea mtoto wa mtu au kusomesha hakikisha saidia ila sio kwa mategemeo bali toa sadaka watoto wa siku hizi hawakumbuki kabisa walipotoka ukisaidia mtoto wa mtu jitoe tena kwa kiasi usije ukamaliza pesa zako ndani kisa mtoto wa wa mtu hawana fadhila wakija kutoka wanawatafuta mama zao,,filisika sababu ya kusaidia mtoto wako wa damu utakuja kunishukuru ila sio mtoto wa mtu
 
Back
Top Bottom