Mtoto Pendo wa IFM

Mtoto Pendo wa IFM

Status
Not open for further replies.
Wenzako wajanja wanasuuza rungu hata kwa huyo mwenye sura kama karabai la wavuvi...

Mvuvi akitupa nyavu hata kama alitaka avue tasi au mkole, wakiingia humo kibua, kolekole hawezi waachia...

Sasa we subiria huyo mwenye sura kama tachi skrini ya Aipad miaka mia tisa wakati hata ngawira yakupiga chenga...

Hahahaa lol umenfurahisha
 
we naye ndo maana ujapata kazi umebaki kukimbizana na kina pendo hahahaaaa
 
Nilikua na muongopea mie nilipanga ni mlie mijiela sasa nitimtajia kuwa na somea Accountant siange kata mwawasiliano na mimi hata kabla hatuja panga kuonana maana angeona huyu demu anasomea Accountant mambo ya kufunga makabati siutani angetoka ndukiii coz angeona ningeapply hiyo kwake hahahah

hahAhahaha ni shida pendo
 
Me kuna mmoja nilimkimbia posta ilikuwa the same kama iyo story yako. Kwanza nilimuomba jina analotumia FB ili nimperuzi vizuri lakini akachomoa. Wasap kaweka picha ya ua red rose. Tukakubaliana tukutane posta benjamini. Me nikwai yeye wakati anakuja nikawa namchora vizuri tu, aisee nilizima simu na kuishia zangu. Ila mpaka leo roho inaniuma kwani skujua kama alikuwa na nauli ya kurudi au la.

Hahahaha, mkuu yawezekana ulimfanya mtoto wa watu atembee posta to mbagala
 
duuh...aliyetoa pesa katoa pesa bandia na aliyetoa cheni katoa cheni bandia...ngoma droo
 
Sana wanawake skiz tumejishusha thaman na ndio maana tunadharauliwa.....inashangaza sana asilimia kubwa ya ss waschana skiz tunapenda wanaume wenye magar....bt am not among of them...

Tunajidhalilisha sana tubadilikeni ni aibu
 
Jamani dear ndo umekuja kunitangaza. Me mwenyewe sikupenda kuwa hivyo. But still nakupenda hivyo hivyo!!
 
Ahahaah! Siku hizi IFM kuna kozi ya BAF?
Unless kama mdau anazungumzia Mzumbe university au chuo kingine.
 
Hahahaha daaahh jemedari umetisha niko na ka uncle changu hapa kananiambia uncle usicheke daahh stori inachekesha sana mwaka wa ngapi kitaaa hahahah nissan murano duuhh buku 6 mia 3 hahahahahah daaaahh kuna watu mnavipaji
 
Tutaangamia kwa tamaa. Si wanawake, si wanaume.
 
Me kuna mmoja nilimkimbia posta ilikuwa the same kama iyo story yako. Kwanza nilimuomba jina analotumia FB ili nimperuzi vizuri lakini akachomoa. Wasap kaweka picha ya ua red rose. Tukakubaliana tukutane posta benjamini. Me nikwai yeye wakati anakuja nikawa namchora vizuri tu, aisee nilizima simu na kuishia zangu. Ila mpaka leo roho inaniuma kwani skujua kama alikuwa na nauli ya kurudi au la.

mkiunganisha story zenu, mtatoa muvi nzuri sana ya umdhaniaye, ila nahisi huyo wa posta unamsema miss chagga nini? maana yeye na maua kama anafuga nyuki.
 
Me kuna mmoja nilimkimbia posta ilikuwa the same kama iyo story yako. Kwanza nilimuomba jina analotumia FB ili nimperuzi vizuri lakini akachomoa. Wasap kaweka picha ya ua red rose. Tukakubaliana tukutane posta benjamini. Me nikwai yeye wakati anakuja nikawa namchora vizuri tu, aisee nilizima simu na kuishia zangu. Ila mpaka leo roho inaniuma kwani skujua kama alikuwa na nauli ya kurudi au la.

Duuh ungejua ungemrushia hata buku 5 kwa m- pesa. Jamani msiwe mnatukimbia, kama tumerithi sura za wajomba zetu, tutafanyaje sasa hahahhahaha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom