TANZIA Mtoto Nilsa afariki dunia akipatiwa matibabu MOI

TANZIA Mtoto Nilsa afariki dunia akipatiwa matibabu MOI

Sina nia mbaya kwenye hii comment yangu.

Binafsi huyu mtoto nilimuona tangu muda ila ndani ya nafsi yangu nilisema huyu hawezi kupona kutokana na the way Mtoto alivyo.

Hii n nuksi nyingine ya Samia kwenye maisha ya watanzania.
 
To be honest bora huyu mtoto kupumnzika. Kwanza nilikuwa najiuliza hawakuona kwenye Ultra Sound ?Maana wangeweza kuterminate mimba. Sleep easy baby. 🥲
Unafikiri nyie kina mama mnakubali mkiambiwa mterminate sababu ya congenital anomalies?! Ubishi moto na mnakimbilia kwa waandishi wa habari.
 
Tatizo mabinti wa 2000 hawataki kabisa kutumia folic acid.halafu mtu ananza clinic mwezi wa saba
Pia serikali nayo inashindwa hata kuwapa wajawazito folic
Leo ndo nmeisoma hiyo folic acid baada ya hii comment yako, hakika ina umuhimu mno kwenye ujauzito.

Hvy naweza kusema uko sahihi kwa 98%
 
Unafikiri nyie kina mama mnakubali mkiambiwa mterminate sababu ya congenital anomalies?! Ubishi moto na mnakimbilia kwa waandishi wa habari.
Ukitoa sababu ya mtoto ana kichwa kikubwa, ulemavu mwingine ni upi wa mtoto tumboni wa kufanya mimba itolewe?
 
Ukitoa sababu ya mtoto ana kichwa kikubwa, ulemavu mwingine ni upi wa mtoto tumboni wa kufanya mimba itolewe?
Kama ana severe hydrocephalus mfano,

Kama ubongo wake hautokua na umeharibika vibaya.

Anencephaly, endepo kuna baadhi ya sehem za ubongo hazipo.

Halosposencephaly, ubongo kushindwa kugawanyika vizuri wiki ya( 3-4 )ya ujauzito.

Note , ila bado sheria za Tanzania haziruhusu termination.
 
To be honest bora huyu mtoto kupumnzika. Kwanza nilikuwa najiuliza hawakuona kwenye Ultra Sound ?Maana wangeweza kuterminate mimba. Sleep easy baby. 🥲
Victoria uko sahihi. Bora kupumzika kuliko mateso, mawazo, kusononekà na mateso ya kumhudumia ambayo angeliyapata na wote wanaomzunguka
 
Back
Top Bottom