TANZIA Mtoto Nilsa afariki dunia akipatiwa matibabu MOI

TANZIA Mtoto Nilsa afariki dunia akipatiwa matibabu MOI

Huyo jamaa aliyekoment ni mpumbavu , autism haimzuii mtoto kuishi
Inahuzunisha sana! Mtoto yupo tumboni hana ili wala lile kwanini utoe mimba kisa ni mgonjwa! Bora azaliwe afe mwenyewe tofauti na hapo ana haki ya kuishi.
 
Ninavyojua ni hivi

Sio kila mzazi alitumia Folic Acid...na watoto wanazaliwa wakiwa sawa tu
Zamani hata hizo folic acid hazikuwepo na tulizaliwa.
Siku hizi mfumo wa kula sio mzuri jumla na vipodozi tunavyotumia ndo maana folic acid ni muhimu.

Wengine wanatumia folic acid na watoto wanatoka na matatizo.
 
Folic ni bure. Mabinti wa siku hizi wanakosa miongozo ya wazazi wao. Mashauzi mengi, hawataki kutumia dawa.
Wazazi wenyewe hawazijui hizo folic acid na wao hawakuzitumia.
Hawazijui hizo wala dawa za kuongeza damu.

Folic acid ni kwa ambao hawawezi kupata mlo kamili, vyakula vyenye folate vipo vingi tu mboga za majani, mbegu kama maharage, matunda, mayai ya kienyeji, nuts.
Muhimu ni kula hivi vyakula kwa wingi.
Folic acid ni muhimu lakini sio ya lazima.
min -me ebu toa neno la mwisho.
 
Kuna hospital hawatoi folic acid, hata mimi sizijui na sijawahi kunywa ila nimepata mtoto mzima.

Baadhi ya vipodozi vinachangia kuzaa watoto wenye mapungufu hasa zenye ingredients za ant aging
Ni vyema kuonana na mshauri wa ngozi ili kuangalia bidhaa mama anazotumia ni sahihi au upewe zilizo sahihi au mjamzito afocus tu kwenye mafuta ya mgando.
Na hili janga la vipodozi we subiria tu miaka michache ijayo tutapata majibu. Pia kuna hizi supplement zinauzwa kama njugy watu wanabwia tu sijui kaa hata serikali ina taarifa.
 
Ninavyojua ni hivi

Sio kila mzazi alitumia Folic Acid...na watoto wanazaliwa wakiwa sawa tu
Na folic acid ili iwe effective unatakiwa uanze 3 months before kupata mimba, sasa wabongo kwa mimba zetu za bahati mbaya wangapi wanajiandaaga?
Kwahiyo sio kwamba kila asiyetumia anapata mtoto mlemavu mbona hospitals zisingetosha.
 
Zamani hata hizo folic acid hazikuwepo na tulizaliwa.
Siku hizi mfumo wa kula sio mzuri jumla na vipodozi tunavyotumia ndo maana folic acid ni muhimu.

Wengine wanatumia folic acid na watoto wanatoka na matatizo.
Sio zamani tu
Wakati huu huko vijijini wanawake hawajui folic acid ni nini
Vichaa wanapata mimba,wanazaa bila shida yoyote kwa mtoto

Miss Natafuta anaamua kubisha tu
 
Na hili janga la vipodozi we subiria tu miaka michache ijayo tutapata majibu. Pia kuna hizi supplement zinauzwa kama njugy watu wanabwia tu sijui kaa hata serikali ina taarifa.
Vipodozi ni janga lingine ila watu ngozi zinavyoteleza we utamani?😂
 
Zamani hata hizo folic acid hazikuwepo na tulizaliwa.
Siku hizi mfumo wa kula sio mzuri jumla na vipodozi tunavyotumia ndo maana folic acid ni muhimu.

Wengine wanatumia folic acid na watoto wanatoka na matatizo.
Ushasema zamani
Zamani walikula chips na mikuku hii??
Michapati na mikeki yenye michemical?
Mivyakula yenye soy sauce za kichina?
Mavipodozi feki na masabuni ya ovyo
Endelea kubet tu kipenzi.ila hauko fair
 
Ushasema zamani
Zamani walikula chips na mikuku hii??
Michapati na mikeki yenye michemical?
Mivyakula yenye soy sauce za kichina?
Mavipodozi feki na masabuni ya ovyo
Endelea kubet tu kipenzi.ila hauko fair
Ndo maana nikakwambia folic acid ni kwa wale ambao hawapati balance diet.
Ulemavu mwingine unatokea tu bila sababu mfano usonji.
 
Na folic acid ili iwe effective unatakiwa uanze 3 months before kupata mimba, sasa wabongo kwa mimba zetu za bahati mbaya wangapi wanajiandaaga?
Kwahiyo sio kwamba kila asiyetumia anapata mtoto mlemavu mbona hospitals zisingetosha.

😂😂😂 mimba za bahati mbaya
 
Vipodozi ni janga lingine ila watu ngozi zinavyoteleza we utamani?😂
Yaani mkuu vinatamanisha mnoo 🤣🤣🤣🤣 kuna supplements kuna mtu anatumia jamani amenoga hatari, ilibaki hivi ninnue nilivo google madhara yake nikapumzika 😃
 
Eee mungu nijalie wangu azaliwe salama maana vidonge vya damu na folic acid nilazima nimsimamie anywe ndo niende kazini yani nko serious kwa hlo
Bado kuna madaktari wanawabinjua mikono, miguu mara wafinye ubongo wakati wa kujifungua usisahau na hapo
 
Back
Top Bottom