TANZIA Mtoto Nilsa afariki dunia akipatiwa matibabu MOI

TANZIA Mtoto Nilsa afariki dunia akipatiwa matibabu MOI

Tatizo mabinti wa 2000 hawataki kabisa kutumia folic acid.halafu mtu ananza clinic mwezi wa saba
Pia serikali nayo inashindwa hata kuwapa wajawazito folic
Kuna hospital hawatoi folic acid, hata mimi sizijui na sijawahi kunywa ila nimepata mtoto mzima.

Baadhi ya vipodozi vinachangia kuzaa watoto wenye mapungufu hasa zenye ingredients za ant aging
Ni vyema kuonana na mshauri wa ngozi ili kuangalia bidhaa mama anazotumia ni sahihi au upewe zilizo sahihi au mjamzito afocus tu kwenye mafuta ya mgando.
 
Ninavyojua ni hivi

Sio kila mzazi alitumia Folic Acid...na watoto wanazaliwa wakiwa sawa tu
 
Kuna hospital hawatoi folic acid, hata mimi sizijui na sijawahi kunywa ila nimepata mtoto mzima.

Baadhi ya vipodozi vinachangia kuzaa watoto wenye mapungufu hasa zenye ingredients za ant aging
Ni vyema kuonana na mshauri wa ngozi ili kuangalia bidhaa mama anazotumia ni sahihi au upewe zilizo sahihi au mjamzito afocus tu kwenye mafuta ya mgando.
Endeleeni kujiipa moyo
 
Folic ni bure. Mabinti wa siku hizi wanakosa miongozo ya wazazi wao. Mashauzi mengi, hawataki kutumia dawa.
Kuna mtoto wa shangazi yangu nilipewa taarifa kuwa kajifungua nikaenda kuwasalimia. Mtoto ana wiki 3 anaingia ya nne. Ni mtoto wake wa 2.

Nafika nakuta mashitaka kuwa mama wa mtoto anazingua kula chakula cha mzazi ili aweze nyonyesha mtoto vema. Maziwa yanatoka mepesi mtoto ni wa kiume hashibi vizuri so kila muda anataka kunyonya.

Mama mtu anakuwa kama anamkwepa mtoto anamuona anamsumbua so anachofanya mama yake akimuandalia chakula yeye anampigia simu rafiki yake anayeishi jirani na kwao amnunulie chipsi na soda anaweka kwenye begi anamleta kwa siri mama asijue. Halafu kama aliandaliwa supu au chakula cha kula yeye anampa huyo rafiki yake anasepa nacho. Yeye anakula chipsi na soda.

Amekonda kupita maelezo. Imagine ni wiki 3 tu tayari hali ipo hivyo na huyu mtoto anatakiwa kunyonya miaka 2. Nilitamani kumzabua makofi.

Kuzaa yanazaa kama panya,kulea yanataka kulazimishwa ,haya matoto ya kike kizazi hiki ni nani amewaroga?
 
Wabishi balaa.niko kwenye group la wamama wajawazito Hali ni mbaya
Kuna haja ya kuanzisha kikundi cha akina mama na mashangazi watakaokuwa wanapigiwa simu mwanamke mjamzito anapoleta us*ng* kwenye maswala ya malezi na watoto.

Zamani unazungukwa na akina mama,mashangazi,mama wadogo,dada,na mabibi. Kuanzia wakati wa ujauzito,kujifungua,hadi malezi ya mtoto anayezaliwa wanakuja kumuachia uhuru mama mtoto umri wa miaka 3 huko ndio watapunguza unoko.

Akileta ufala ni anachezea makofi na mabao hadi akili imkae sawa, hakuna kudeka wala kujivutavuta kama mgonjwa. Hawa mabinti wa sasa anajiamulia tu kulea mtoto kama anavyojisikia,ananyonyesha miezi sita tena ile ya kusua sua, then anamuanzishia mtoto maziwa ya kopo umri huo huo wa miezi sita ili yeye asinyonyeshe maziwa yasiwe makubwa.

Hii kitu inatia kichefu chefu kama sio hasira kwakweli.
 
Kuna hospital hawatoi folic acid, hata mimi sizijui na sijawahi kunywa ila nimepata mtoto mzima.

Baadhi ya vipodozi vinachangia kuzaa watoto wenye mapungufu hasa zenye ingredients za ant aging
Ni vyema kuonana na mshauri wa ngozi ili kuangalia bidhaa mama anazotumia ni sahihi au upewe zilizo sahihi au mjamzito afocus tu kwenye mafuta ya mgando.
Hiki kizazi kina watu wapumbavu sana . Mtu mwenye akili akisoma hapa atagundua ujinga mwingi sana
 
Ndio yeye na mke mfuniko na pipa.kuna wa kumshauri mwenzie hapo?
Huyo baba mtoto namfahamu personally, sio mtu mwenye umri mdogo kivile. Amemaliza degree hapo udsm 3 plus years ago.
Ni mtu poa sana na anajituma mno kufanya kazi.
Labda Kuna mambo yalitokea huko kwenye uhusiano wao huwezi kujua.
 
Back
Top Bottom