kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,489
- 23,084
Kuzuia hayo yote na usumbufu mtandaoni wanawake mezeni dawa miezi mitatu kabla ya kushika mimba na baada ya kushika hadi kujifungua folic hizo na nyingine.....huzurien clinic kabla hatamimba haijatungishwa