Mtoto mzuri mashallah malaika

MziziMkavu hao wajukuu kweli wako?? Ni wazuri na warembo sana Nina hamu na watoto mie ningekua karibu ningeiba kamoja hapo!
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hao wajukuu kweli wako?? Ni wazuri na warembo sana Nina hamu na watoto mie ningekua karibu ningeiba kamoja hapo!
wajukuu wa familia ndio wa kwangu mjukuu wa kaka yangu au dada yangu sio ndio mjukuu wangu? yaani mimi ninaitwa babu katika familia ingawa mwanangu hajazaa bado nina mtoto mkubwa wa kiume. Kama mtoto wangu angelikuwa ni mwanamke ningeshapata wajukuu wengi tu.
 
FaizaFoxy, kuja uone huku.
huyo bibie FaizaFoxy alikuwa yupo jela lupango amesha toka nini ? Huyu bibie Faizafoxy ni CCM damu mchafuzi akija huku ataleta uchafuzi wa maneno si unajuwa tena fujo zake huyo bibie ana fujo sana kimaneno hajuwi kuongea sijuwi Mzaramo nini?:becky: ninamchokoza kwa maneno ya matusi anaongoza huyo bibie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…