Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
- Thread starter
- #21
Wanaume sisi tuna maana basi! Hata ukiwa na mke mwenye guu la champaign kama upendavyo bado utachepuka tena utachepuka na mwenye kimguu kama nguzo ya antena.
By the way miguu mizuri inatofautiana,leo utaona huu mzuri kesho utaona mwingine mzuri kuliko wa leo.Angalia hulka ya mtu na si physical morphology mkuu,utapotea.
Mkuu nimekusoma lakini ili uishi kwa furaha katika maisha unatakiwa mwanamke umpende na kumtamani. La sivyo itakuwa sivyo.