Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Sijadili uumbaji wa mwenyezi Mungu ila palipo na sifa ni vizuri kusifia.
Mimi watoto wenye mguu wa ukweli nawapenda sana. Sipendi mwanamke mwenye kamguu kembambaaaaa.
Wengine hawajui hata kuchagua mavazi, mwanamke kamguu ufito halafu unavaa min sketi kweli!!!!!.
Unajua ili upate raha katika maisha ni lazima umpende na kumtamani mpezi wako. Usipo mtamani utatamani nje. Usipo mpenda utapenda nje.
Ni hayo tu.