Mtoto mtamu huyu

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,287
2,000
Mbona video Imesha toka ..wale tayari wamesha bwagana kweli ..juzi jux alikuwa na huyo manzi katika birthday party ya demu wa diamond na mama yake pale mlimani ---so bado una amini kuwa ni kick

Mimi nilikuwaga na Tarajia kuona walipofikia kwa sababu Vanessa ni maarufu zaidi kuliko jux - so kwa namna fulani Jux alikuwa anapata changamoto kubwa sana '' toka kwa watu maarufu mbali mbali haswaa watu kama kina reekado banks sidhani kama wa-memuacha salama V
Hii itakua video ya sumaku ila wanataka tu akili zetu ziwe kwao nadhani itakua ni mipango tu
 
number41

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,984
2,000
Mbona video Imesha toka ..wale tayari wamesha bwagana kweli ..juzi jux alikuwa na huyo manzi katika birthday party ya demu wa diamond na mama yake pale mlimani ---so bado una amini kuwa ni kick

Mimi nilikuwaga na Tarajia kuona walipofikia kwa sababu Vanessa ni maarufu zaidi kuliko jux - so kwa namna fulani Jux alikuwa anapata changamoto kubwa sana '' toka kwa watu maarufu mbali mbali haswaa watu kama kina reekado banks sidhani kama wa-memuacha salama V
Haya mkuu ila mi bado navuta subra mana bana siku hizi wasanii wanambinu nyingi ya kutafuta hela wameshajua wabongo tunapenda drama sana ila yote yanawezekana uenda kuna project mana naona mpk kamikaze yumo ngoja tuone
 
yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
16,441
2,000
Reekado na yule nyovest je?

Sawa boss ..inaweza kana pia
Haya mkuu ila mi bado navuta subra mana bana siku hizi wasanii wanambinu nyingi ya kutafuta hela wameshajua wabongo tunapenda drama sana ila yote yanawezekana uenda kuna project mana naona mpk kamikaze yumo ngoja tuone
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,101
2,000
watoto wazuri kama hawa bila hela utawasikia kwa wenzako tu -- maisha haya jmn
 
kalipeni

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,070
2,000
Kwani mkeo akibaki na chupi anakuaje!!? Tuache tamaa kwa wanawake wasiojisitiri ata wake zetu wako ivyoivyo isipokua miili yao inasitirika ndani ya Madera na mabaibui
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom