Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Urefu wa kitu pia hutokana na kuboa ama kuchosha. Kitu chaweza kuwa kirefu lakni ukakiona ni kifupi kutokana na mpangilio na kisa chake.ilinyondefu tu sijaanza hata kusoma, ngoja niivutie pumzi baadaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku hizi kutokana na muda kuwa finyu, mbali na post za habari, nyingine zote huwa naangalia kwanza ukubwa wa post, kama ndefu naiacha.Urefu wa kitu pia hutokana na kuboa ama kuchosha. Kitu chaweza kuwa kirefu lakni ukakiona ni kifupi kutokana na mpangilio na kisa chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaNi Marekani ni fatherland of mystery
Ni kweliUrefu wa kitu pia hutokana na kuboa ama kuchosha. Kitu chaweza kuwa kirefu lakni ukakiona ni kifupi kutokana na mpangilio na kisa chake.
Sent using Jamii Forums mobile app