MTOTO MFU NDANI YA BOKSI

MTOTO MFU NDANI YA BOKSI

Yaani sura ya huyo dogo inatia huruma sana, dunia hii ina matukio ya ajabu kiasi imesumbua vichwa vya wasomi wa mambo ya uchunguzi huko ughaibuni
 
Wenzetu wanapofika mwisho wa upelelezi wanapiga muhuri " unsolved case " lakini anakuja mwingine anaifatilia yaani mpaka kieleweke. wanatafuta jina kwa ajili ya fani zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wadhungu wanauwana na kuzika wenyewe sana!
Kwa sababu ya desturi ya maisha yao!
Garden zao nyingi nyumbani ni makaburi!
That’s all
 
Back
Top Bottom