mtoto mchanga vs feni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtoto mchanga vs feni!

Discussion in 'JF Doctor' started by gracious86, Mar 31, 2011.

 1. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wadau wa jf, eti feni sio nzuri kwa mtoto mchanga? Nazungumzia zile (pangaboi) za juu and not stand fans! Pls naomba mnisaidie kutambua kama zina madhara,n its side effects! Jamani hata kama ikiwa ipo kwenye low speed? Mtoto wangu huwa ana sweat sana kwajili ya joto,na hii hupelekea kulia sana! Ninapo switch on fan inakuwa afadhali. Je ni sawa? Au natafuta matatizo kwa mtt? Plz help... riwa?
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....ndio sio nzuri, haswa nyumba ikiwa na mavumbi. Si unajua vumbi inaweza sababisha allergy, mtoto anaweza kupata baby rash,asthma, n.k. Mie naona bora uweke central air conditioner ni safe zaidi kuliko feni.
   
 3. P

  Popompo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  fan sio nzuri kwa mtoto,unachoweza kufanya ni kumpunguza nguo.kwani ana umri gani?
   
 4. m

  mams JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yalishanipata, si feni wala Ac zote zina madhara makubwa kwa mtoto. Nilizoea kutembea kwenye gari full ac yaliyonipata nilijuta. Vumilia kwa kupata natural ventilation kama hewa na upepo mzuri kupitia dirishani etc
   
 5. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ana mwezi mmoja tu mdau! Lkn huwa analia sana kukiwa na joto kali,na anasweat hasa! Huwa namlaza na nepi tu! Simfuniki..
   
 6. p

  pihu Senior Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hi

  Naelewa kuna joto but pls be careful wid ur child; kumweka kwenye nepi tu is not a good idea coz watoto wachanga wakipata pneumonia its difficult almost impossible to cure them so pls b careful; AC/Fan zote mbaya an mbaya zaidi kumweka tu kwenye nepi pekee yake

  I honestly do not knw what u should but i am just telling you the side effects so pls be careful or even more better seek medical/professional advice

  tc
   
 7. P

  Popompo JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nafikiri kama kuna joto sana waweza kumuacha wazi kwa muda ule anaolia,mfute jasho kwa kitambaa chenye unyevu na umvalishe nguo nyepesi za cotton tuu.angalizo asipate baridi.
   
 8. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante sana! Nimekupata vzr sana. Nashukuru
   
 9. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  shukrani sana mkuu! Nimekupata
   
 10. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hizo feni na A/C huwaumiza hata watu wazima wengine (mimi moja wao) - sembuse mtoto!
   
 11. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Mkuu nilishaumwa na nyoka kaka noma AC aina zote(zandani na kwenye gari) na FENI aina zote uzijuazo kaka nilikuwa kila siku nashinda hospital mtoto anakula power Safe mpaka basi ila kama unataka ED ya kazini ili ufanye mambo yako washa feni au AC kwangu mimi sikushauri hata kidogo. acha kabisa kutumia vitu hivyo hewa yetu ya bongo saafi sana weka dirisha wazi ukishindwa fanya kama nilikuwa nafanya mimi nampepea mpaka analala. Mkuu kulea kazi.jikaze
   
 12. P

  Popompo JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nakutakia kila la kheri katika kulea,usisite kuuliza tutakuelekeza mkuu!
   
 13. c

  chetuntu R I P

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwezi mmoja na feni?? Mpendwa sio kwa mchanga kwa watoto wote kwa ujumla .karibia kila nyumba ina soft dust ambayo fen inaisambaza itamletea mtoto allergy, hata Ac sio nzuri kabisa mwisho ni severe pneumonia ambayo ni hatari sana. Mtoto ataishia kwenye xpen, caf na power safe. Fungua madirisha yote mvalishe nguo nyepesi za cotton.
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,547
  Trophy Points: 280
  Kama chumba chako kina ventilation ya kutosha, nyumba yako haipo kwenye eneo lenye vumbi na unafanya usafi kwa makini, mwache mtoto apepewe na feni ikiwa low speed alale kwa amani. Feni ni bora kuliko AC.

  Nimeona wote wakikushauri feni ni hatari kwa mtoto, sio hatari kihivyo, hatari kubwa zaidi ni kwa mtoto kuloa jasho, halafu jasho hilo likalowesha shuka aliolalia na hapo ndipo pneumonia inapoibukia.

  Nguo nyingi za watoto wachanga zimetengenezwa kumkinga mtoto na baridi, lakini kwa jiji la Dar lenye joto, nguo hizo sio muafaka, utaona wamama wengi wame wafunga watoto kwenye baby show nzito, anatoka jasho alawesha nguo inayonyonja joto la mwilini kwa njia ya vaporization na ndio inayoleta pneumonia na sio upepo.

  Mwisho amini usiamini ukimzowesha mwanao upepo, mwili wake unajiadjust kwa mazingira ya upepo na kamwe hawezi kuugua pneumonia, ila kama mtoto hakuzowea feni, ghafla ukaanza kumpuliza, mwili unaweza ku reject, ndipo utakutana na vifua vya ajabu au hata alergy.

  Ushauri wangu ni uzoefu long experiance ya muda mrefu, mimi ni baba wa watoto 6!.
   
 15. M

  Mkare JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naungana nawe mdau.
  Mimi nilimuuliza Daktari wa watoto kabisa kuhusu kumuwashia feni mtoto na akanihakikishia kuwa feni halina madhara makubwa kwa watoto. Madhara ya feni ni kama mafua na kikohozi tena sio kwa watoto wote na pia ni endapo mazingira yatakuwa na vumbi.
  Jamani wapendwa wazazi wenzangu, kwa ishu yoyote inayohusu watoto tusisite kuuliza madaktari hata kama ishu ni ndogo kiasi gani. Wengi tunafikiri mtoto tukimfunika funika sana ndio tunamkinga, ukweli ndo kama alivoeleza mdau hapo juu, jasho lile lile la mtoto likilowanisha nguo zake alizolalia pia linalosababisha pneumonia.
  Mimi kwa kweli huwa namuuliza Dr wa mwanangu hata rangi ya choo cha mtoto ikibadilika kidogo au akicheua...lol
   
 16. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante sana baba. Nimekupata vzr sana!
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Go see a doc, most will tell the same Mkare's experience. Ceilling fans at relatively low speed can be allowed. Health problems may be associated with inheritance, genetic thing you know. Some people are prone to different forms of allergic conditions presenting with itchy skin rashes, chest problems etc. These can be transmitted to their babies. Mfano your baby is more likely to get asthma if you are asthmatic.
  For the at risk babies better avoid. But for most babies ceiling fans does no harm.
  Be informed kuwa body metabolism of babies are relatively higher than that of adults, and they produce a lot of heat, ukichanganya na hot humid DAR you can imagine the suffering watoto wanapata.
  Go see a doctor, a pediatrician to be specific. Huwa sisiti kuwaona kila ninapohitaji professional advice.
   
Loading...