The real factsMkuu kwanza naomba umpuuze mleta maada maana ni muongo...
Scientifically hio imani ya kubemenda ni uongo....mwanamke baada ya kuzaa anaruhusiwa kufanya mapenzi na hakuna njia ambayo manii zinaweza kumdhuru mtoto (never)
Hii elimu ni tosha kabisaJE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*
Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
• ACID,
• SPERM au CHROMOSOME,
• VIRUS.
PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food
Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kamautajilazimisha utapata madhara.
ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenyeladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na piakulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo
sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi
sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii.
Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako
ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana
ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya
katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata
ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma
mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano
mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume
ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile
(mashoga) hata kama zamani alikuwa strong
(imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea
kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu
sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii.
Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia
mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia
ukamuingizia manii
ambayo yana acid, acid ile itapanda katika
maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto
akinyonya atanyonya
maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea
au kwa watu wa pwani wanaita
kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto.
Lakini kama
atakula acid ya baba yake hatadhurika sana,
sababu atakula
acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila
mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto
ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu
ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si
ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa
ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid
kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika
zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika
virginal wall.
SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana
ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya
mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani
mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na
nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na
joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya
reproduction na gynecology wanatueleza
kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto
milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa
kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa
kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi
sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama
yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi
Mungu.
VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo
vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na
mtu
m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya
zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus
wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi.
Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu)
maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu
mwanaume anapotoa manii yake yenye
protein,acid sperm/chromosomes na virus kila
kimoja huchukua nafasi yake kwenda
kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika
vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate kuishi humo kwa kuwa ndipo alipowapangia Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa virus wasiokuwa wako. Hivyo hawa wapya wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao wametokea wapi? Mbona si katika wale tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus wenyeji watawashambulia virus wageni kama antibody bacteria (kitu kinachotoka nje yamwili). Na katika mapigano haya watapelekea kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea wapi?
Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi kushambuliwa na virus wa zamani itabidi watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo mume akimuingilia mkewe naye pia atapata ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya mumewe pekee.
Na hapa ndipo tunapoona hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii ni kwa sababu mwanamke anapokea manii yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwamumewe.
Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapandipo inapopatikana hekima ya mwanamke aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi cha miezi mine na siku kumi ambacho mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa protein inayopatikana katika manii ambayo ndio chakula chao, hivyo kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama ataolewa tena na mume mwingine huyu mume mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi
Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina
madhara yake. Njia bora ya kupambana na
magonjwa mbalimbali.
Magonjwa hayo kwa kingereza ndio wanaita Sexual transmitted Diseases (STDs) na kweli yana madhara makubwa mno kwenye jamii yetu .
Nawasilisha.....
Not necessarilyResearch mbali sana kiongozi ,baadhi ya maandiko ya kisayansi yanadhibitidha hivyo .
Na kwa udhibitisho zaidi angalia watoto wadogo wakibemendwa huwa wanachelewa mno kutembea kwa sababu ya ulegevu.
Hapana hii si elimu.Hii elimu ni tosha kabisa
Science haiko static ivo usijiapishe kuwa ni uongo Leo aliokuandikia Hayo ma vitabu ya Anatomy, Reproduction akifanya Research akagundua ivo vitu vipo? Utasimamia wapi, Wanasayansi huwa hatupingi jambo kiivo mkuu eleza Currently situation iliopo sasa na si kujiapisha kuwa hicho kitu akipoMkuu kwanza naomba umpuuze mleta maada maana ni muongo...
Scientifically hio imani ya kubemenda ni uongo....mwanamke baada ya kuzaa anaruhusiwa kufanya mapenzi na hakuna njia ambayo manii zinaweza kumdhuru mtoto (never)
Povu na uongo uliotukuka, hizi ndizo imani za waganga wa kienyeji, hakuna kitu kama hiki, wewe na wenzako ndio wale mnaoleta mada za kiimani zaidi kuliko kisayansi, acha kudanganya watu na pumba za kijinga na za kipotovu kama hizi, hazina tofauti na zile za mdudu mtu kwenye mboga, kuua albino, kuua vibibi kizee, paka mweusi n.k.JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*
Mkuu anatomy ya binadamu haibadiriki labda evolution itokee (ambayo tunaambiwa inatokea taratibuu kama miaka hata mil 1)Science haiko static ivo usijiapishe kuwa ni uongo Leo aliokuandikia Hayo ma vitabu ya Anatomy, Reproduction akifanya Research akagundua ivo vitu vipo? Utasimamia wapi, Wanasayansi huwa hatupingi jambo kiivo mkuu eleza Currently situation iliopo sasa na si kujiapisha kuwa hicho kitu akipo
Elimu tosha.JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*