Mtoto kubemendwa hutokea hivi

Mtoto kubemendwa hutokea hivi

Naomba kuuliza kuna uwezekano mtoto akabemendwa akabaki na afya yake mzuri ila akawa mlegevu na kushindwa kutembea na darasa hapo ndugu zangu.
 
wenyewe wanasema sayansi yote imetokana na kitabu kitakatifu kwani kila kitu kimeelezwa humo,labda ndiyo haya mkuu
Tena huyu jamaa angeshauriwa akomae na fani yake....
Huu ushauri awaachie watu waliosomea..
Na sio kupotosha umma namna hio
 
Mkuu kama unaongea kiroho uko sahihi kabisa..

Lakini kama ni sayansi basi huo ni uongo ulio tukuka....
Kisayansi nitaanza kupoint uongo wako niliouona ..

Kwanza kabisa according to anatomy and physiology hakuna njia ambayo acid iliyoko kwenye semen inaweza kufika kwenye maziwa ya mama (kwa hilo naomba uwaombe radhi uliowadanganya)

Pili
Katika content za semen hakuna virus (labda kama mtu atakuwa yuko infected na virus) lakin katika normal condition hio content ya virus labda uandike vitabu vyako vya physiology uiongeze......

Hayo ni machache kati ya uongo mwingi uliouandika...

Nikipata muda ntakuja kukukosoa zaidi
Hii mada inaleta maswali vikirishi zaidi badala ya kwenda kwenye hitimisho moja kwa moja .

Kuna kitu umeona hapo kwenye suali lako la kwanza point bado IPO hivyo ilivyo kwamba baba na mama wanaweza kuendelea kufanya tendo ila haitamuadhiri mtoto,lakini mama akitoka nje basi mtoto anadhurika .

Hicho kunachomdhuru mtoto ni nini ?tukiite Acid au kama kuna jina lingine la kisayansi liweke hapa Mkuu jamii tufahamu.

La pili umezungumzia viruses ni kweli hapo virus ni mpaka mhusika awe na maambukizi na hayo maambukizi ni ya maradhi yote ya zinaa .
Maana tukisema tu maambukizi wengi huelewa ni HIV/AIDs peke yake .
 
Naomba kuuliza kuna uwezekano mtoto akabemendwa akabaki na afya yake mzuri ila akawa mlegevu na kushindwa kutembea na darasa hapo ndugu zangu.
Mkuu kwanza naomba umpuuze mleta maada maana ni muongo...

Scientifically hio imani ya kubemenda ni uongo....mwanamke baada ya kuzaa anaruhusiwa kufanya mapenzi na hakuna njia ambayo manii zinaweza kumdhuru mtoto (never)
 
VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo
vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na
mtu
m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya
zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus
wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi.
Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu)
maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu
mwanaume anapotoa manii yake yenye
protein,acid sperm/chromosomes na virus kila
kimoja huchukua nafasi yake kwenda
kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika
vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate kuishi humo kwa kuwa ndipo alipowapangia Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa virus wasiokuwa wako. Hivyo hawa wapya wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao wametokea wapi? Mbona si katika wale tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus wenyeji watawashambulia virus wageni kama antibody bacteria (kitu kinachotoka nje yamwili). Na katika mapigano haya watapelekea kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea wapi?

Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi kushambuliwa na virus wa zamani itabidi watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo mume akimuingilia mkewe naye pia atapata ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya mumewe pekee.

Na hapa ndipo tunapoona hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii ni kwa sababu mwanamke anapokea manii yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwamumewe.

Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapandipo inapopatikana hekima ya mwanamke aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi cha miezi mine na siku kumi ambacho mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa protein inayopatikana katika manii ambayo ndio chakula chao, hivyo kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama ataolewa tena na mume mwingine huyu mume mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi
Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina
madhara yake. Njia bora ya kupambana na
magonjwa mbalimbali.

Magonjwa hayo kwa kingereza ndio wanaita Sexual transmitted Diseases (STDs) na kweli yana madhara makubwa mno kwenye jamii yetu.

Nawasilisha.....

asante ndugu kwa darasa. Ila magonjwa mengi ya zinaa yanasababishwa na bacteria kasoro ukimwi peke yake ndio unasababishwa na virus na ndio maana ni ngumu kuutibu. Ila hayo magonjwa mengineo ya zinaa (STD) yanatibika kwa antibaotics.
Na pia nahisi maelezo yako umechanganya kati ya bactreria na virus. Bacteria ndio wanaoishi katika mwili wa binadamu na kutengeneza enzymes mbali mbali kwaajili ya kumsaidia binadamu. Ila virusi vina muingia binadamu kwenye chembe chembe hai za damu (blood cell) kwa lengo la kushambulia. Nadhani ulichotaka kumaanisha ni kwamba kuna antibody na antigen.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Hii mada inaleta maswali vikirishi zaidi badala ya kwenda kwenye hitimisho moja kwa moja .

Kuna kitu umeona hapo kwenye suali lako la kwanza point bado IPO hivyo ilivyo kwamba baba na mama wanaweza kuendelea kufanya tendo ila haitamuadhiri mtoto,lakini mama akitoka nje basi mtoto anadhurika .

Hicho kunachomdhuru mtoto ni nini ?tukiite Acid au kama kuna jina lingine la kisayansi liweke hapa Mkuu jamii tufahamu.

La pili umezungumzia viruses ni kweli hapo virus ni mpaka mhusika awe na maambukizi na hayo maambukizi ni ya maradhi yote ya zinaa .
Maana tukisema tu maambukizi wengi huelewa ni HIV/AIDs peke yake .
Mkuu hata kama mwanamke atafanya zinaa na mwanaume mwingine hakuna madhara ya kibaiolojia yanayoweza kumpata mtoto (
 
hapa ishu ni usafi ,hata kama ni mkeo unapiga mzigo na kumnyonyesha mtoto lazima ataharisha tu
 
Mkuu hata kama mwanamke atafanya zinaa na mwanaume mwingine hakuna madhara ya kibaiolojia yanayoweza kumpata mtoto (
ndugu nimeshawahi kuwa na mahisiano na mke wa mru mwenye mtoto wa miezi 5,alitembea akiwa na miezi 9 hakuna cha kubemenda wala nini.huo ni utapiamlo unaosababisha hali hiyo
 
ndugu nimeshawahi kuwa na mahisiano na mke wa mru mwenye mtoto wa miezi 5,alitembea akiwa na miezi 9 hakuna cha kubemenda wala nini.huo ni utapiamlo unaosababisha hali hiyo
Afadhal mkuu uwaelimishe.....
Kubemenda ni imani potofu..
Labda wazee wetu waliweka ili kuwafanya wanawake wawe waaminifu tu
 
Mada nzuri ila uongo mwingi hata sisi wa fundamental biology tumekushtukia matango yako
 
Mada nzuri ila uongo mwingi hata sisi wa fundamental biology tumekushtukia matango yako
Mkuu hapa ndio sehemu ya kupeana Elimu badala ya kuponda elezea unachojua kuhusu mada husika utakua umesaidia jamii kwa ujumla.
 
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*

Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
• ACID,
• SPERM au CHROMOSOME,
• VIRUS.

AHSANTE SOMO ZURI SANA
 
Back
Top Bottom