ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Hukuuelewa ushauri wa mwana sayansi mwenzako, mi nko ktk sanaa lakini alichokisema nimemuelewa Sana. Kwa sasa, kwa elimu ya leo ni ukweli usiopingika kwamba hii imani haina mashiko kabisa, kuna watoto wa vyangudoa wanakuwa vizuri tu kwa kufuata kanuni za lishe tu.Mkuu anatomy ya binadamu haibadiriki labda evolution itokee (ambayo tunaambiwa inatokea taratibuu kama miaka hata mil 1)
Kama reproductive system haiungani na breast basi labda usubili miaka mil 1 na zaidi evolution itokee ndio vitaungana
Alichomaanisha Mkuu ni kwamba, usijifunge sana, sayansi si zao la siku moja tu, hapo kale maada ndicho kilichokuwa chembechembe ndogo kabisa, vipi sayansi ya leo inasema hivyo pia? Hoja za wenye imani hizi zinafaa kuwa hypothesis kwa research pia, na mapya yanaweza yakagindulika baadae.