Mtoto kokoto

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu nasubiria aondoke niichukue, darasan hahahahaha
 
Joke hii nzuri ila kwangu umeniharibia raha yake kwa kuweka hayo maneno niliyobold. Maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom