mtoto kavunja ndoa ya mama yake mzazi

habar za w/end wana jf,
ni kisa cha kusikitika kidogo kilichotokea mtaa wa pili ninamoishi.Kuna jamaa mmoja jina kapuni ni dereva wa lory ambaye hufanya safari zake kati ya Dar na Kongo za usafirishaji wa makontena.Anaishi na mke na mtoto wa kiume mwenye umri kama miaka 8,inasemekana kwamba mke wa huyo dereva ni mchepuko mumeo akisafiri yeye huingiza wanaume ndani kutokana na tabia hiyo yule mwanae hakupenda kwani alikuwa akichukia mno,siku moja mama huyo baada ya mumewe kusafiri akaingiza hawara wake ndani akawa anajisevia mchana kweupee!baada ya dogo kutoka kwenye michezo yake gafla bini vuu kazama ndani bila kujua chochote mara kasikia aaaah! uuuuuh! reeehh mara m,m,m,m mara hapohapo Baada ya dogo kusikia hayo akajua mama atakua anaumwa dogo kazama ndani khaaa kakuta mama miguu ipo juu ya mabega ya jamaa ikabidi dogo atoke nduki nje wakubwa zoezi lao likawa limekatishwa ndipo mama alipotoka nje kwa hasira akamkamata mwanae na kumshushia mipigo cha maana hadi dogo kushindwa kutembea,Dogo kwa uchungu wa kupigwa bila sababu ya msingi akamwambia mama yake "labda baba asije"Baada ya wiki kama mbili baba akawa karudi breki ya kwanza kabla hata salam dogo kamsimulia baba mkasa wote na makovu kamuonyesha baba hakumuambia chochote mkeo kwa alichoambiwa na mwanae.Aliweka mtego wake akaaga anasafir kashinda siku ya kwanza siku ya pili usiku karudi ndipo aliposhuhudia kiukweli alitoa kipigo kitakatifu kwa wote ila mkeo ndo alimpiga na kumjeruhi vibaya akamlima na talaka 3 ndoa ikawa mwisho wame.Onyo"michepuko sio dili baki njia kuu japo faida yake ndogo.
hii imekaa kidizaini dizaini tu..
 
Back
Top Bottom