Mtoto kashabalehe huyo!!!

Mtoto kashabalehe huyo!!!

Watoto wake waswahili kabisa,dogo hadi anaonekana hana mood na picha
Kuna siku watamuweka chini mama yao na kumpa policy za kuishi mtandaoni.
Ngoja ngoja kidogo wafike 16-19 yrs.

Mother akijifanya haelewe either watatembea na simu zake zote au hata kipondo.
 
Wabongo ondoeni haya mawazo ya kijinga, yaani mtu ukiona kitovu cha mama yako ndiyo unadindisha? Kama ni hivyo Domo Platinumz tumuhisije, yeye anakaa na mama yake nyumba moja huku mama yake akitembea na kanga moko bila hata sidiria. Je anadindisha na yeye akimuona mama yake?
Daah huyo mama dai huwa unamuona akiwa na kanga moko?
 
Anaachaje kitovu nje mbele ya mtoto?Kwa sisi waswahili moja ya maeneo "Rayvany ft Diamond" ni hapo!
waswahili n i watu wa ajabu kabisa, jana imepandishwa picha ya diamond akiwa na mama yake aliekuwa kavaa kihasara mkasema aachwe ale bata. huyo kwa kuwa sio mswahili mnamzodoa
 
waswahili n i watu wa ajabu kabisa, jana imepandishwa picha ya diamond akiwa na mama yake aliekuwa kavaa kihasara mkasema aachwe ale bata. huyo kwa kuwa sio mswahili mnamzodoa
Mkuu usinimix na watu wa hovyo hovyo
 
nakumix kwa kuwa na wewe ni wa hovyo. mbona jana mlimshangilia diamond na mama yake, leo kwa kuwa huyo sio mswahili mwenzenu
Hebu nenda kaangalie na unitag kwenye comment ambayo mimi nilishangilia jambo hilo!
Hata picha zenyewe sijaziona!Ndio maana nasema usinijumuishe na hao!
 
Back
Top Bottom