Mtoto kashabalehe huyo!!!

Mtoto kashabalehe huyo!!!

Umejaa upupwu

Nimeona unalilia kuungwa kwa group lile.. eeeh huku una wivu hivi.. hata uongozo haukufahi.. huuwezi. 😞
 
Umejaa upupwu

Nimeona unalilia kuungwa kwa group lile.. eeeh huku una wivu hivi.. hata uongozo haukufahi.. huuwezi. 😞
Acha kupanic ndugu,maadili tu kati ya mzazi na mtoto!
Hili si jukwaa la siasa!
 
Acha kupanic ndugu,maadili tu kati ya mzazi na mtoto!
Hili si jukwaa la siasa!

Maadili gani unazungumzia?
Nani founder wa maadili?

Unashindwa kuelewa kila familia ina maisha Yao?
Kuna mnalolifanya kwenye jamii yenu ukienda jamii nyingine watakushangaa!
Na hapo ndipo utashi hutumika kujua kutofautisha na kuheshimu tofauti hizo!
 
Ndiyo maana jamii yangu ya kitanzania suala hilo si sawa!
 
Acha kupanic ndugu,maadili tu kati ya mzazi na mtoto!
Hili si jukwaa la siasa!

Ha ha haaaaa
Huna lolote wewe acha wivu.. haya tu yanaonyesha mtu ulivyo.

Umejaa upupwu kwa kuwa na mawazo yakijinga. Unatatizo seek help
 
Wabongo ondoeni haya mawazo ya kijinga, yaani mtu ukiona kitovu cha mama yako ndiyo unadindisha? Kama ni hivyo Domo Platinumz tumuhisije, yeye anakaa na mama yake nyumba moja huku mama yake akitembea na kanga moko bila hata sidiria. Je anadindisha na yeye akimuona mama yake?
 
Back
Top Bottom