Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,942
Excuse me, umesema!!! [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] Something is wrong somewhere; here'Wabongo ondoeni haya mawazo ya kijinga, yaani mtu ukiona kitovu cha mama yako ndiyo unadindisha? Kama ni hivyo Domo Platinumz tumuhisije, yeye anakaa na mama yake nyumba moja huku mama yake akitembea na kanga moko bila hata sidiria. Je anadindisha na yeye akimuona mama yake?