Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,275
- 108,278
hahahaha! hiyo katuni imenifurahisha sana, Urakoze chane.
Hii lugha naipenda sana...natamani sana kuijua yote!!!
hahahaha! hiyo katuni imenifurahisha sana, Urakoze chane.
mi nilihisi we ndo umenisusa, mwenzio mbona nakukumbuka sana wangu basi tu yani
Jamani jana alikuja wifi/shemeji yenu toka kijijini kwani nilimwacha baada ya kupata kibarua hapa mjini, kama ilivyo kawaida ya wanaume tulio wengi haturidhiki(mungu atusamehe) niliamua kuwa na mpenzi mwingine hapa town wa kutuliza mashetani ya kipanda, kosa nililofanya ni kumleta mpaka sehemu ninayoishi akawa anakuja mara kwa mara mpaka kuzoeana na watoto wa mama mwenye nyumba, sasa jana my waifu katia timu mjini kutokana na kubanwa na shughuli za ofsini nikamtuma jamaa yangu akamchukue ampeleke nyumbani kizazaa kilianza baada ya kufika nyumbani kuna kitoto pale nyumbani kina miaka kama 6 hivi kamemwambia kila kitu, nimetoka kazini nikakuta waifu kasepa kurudi nyumbani na amesema hataki ndoa tena, nimekoma jamani nimejitetea mpaka basi lakini hanielewi naogopa ndoa yangu kuvunjika.
mi nahisi litakuwa division five! Kumbe hata mwanaume -------- anavunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe?
Mkuu mtu mwenye elimu ya kutosha hata ya division 4 anaongea vitu vyenye busara na matendo yake siku zote humfanya aonekane mtu mwenye hekima. Hili jamaa niona uhakika hata kama lina vyeti basi itakuwa sio vyake either limenunua au limechukua vya marehemu ndugu yake. Unaenda kuleta malaya kwenye kitanda cha mkeo halafu unautangazia ulimwengu, nina mashaka sana na uwezo wake wa kufikiri. Haya ndiyo majitu yanatumia sehemu za siri kufikiria badala ya kutumia ubongo:frusty:
Mbona lina Elimu ya kutosha tu na maisha mazuri sana tu watoto linawasomesha shule za kimataifa lakini wakirudi likizo linakuwa Pumbafu kuwapeleka kwa Hawara.
wanaume!!!!!!!
Kupeleka hawala nyumbani??? wengi tutampiga mawe. wenzake washamwambia, hawara yake gesti au vichochoroniYule anaejiona mtakatifu na awe wa kwanza kumpiga mawe na kumdhihaki huyu bwana