Huu uzi sio mahali pake hapa, mods pelekeni kwenye jukwaa la udaku na jokes. Yaani hainiingii kabisa akilini kweli mke wako wa ndoa ambaye hamjaonana siku nyingi anakuja kama leo then unamtuma rafiki yako akampokee stend, ------- kabisa hauko serious wewe dogo. Halafu ulivyokosa haya eti unasema WANAUME TULIO WENGI HATURIDHIKI, jiseme peke yako na umalaya wako kuwa huridhiki na hao machangudoa zako unao nunua buguruni wameshindwa kukuridhisha.
wewe unajua majukumu ya kazi kweli?
Stori yako inafanana na mwanaume mmoja mimi namuita MJINGA. Mkewe kasafiri Ulaya kikazi yeye amempangisha hawara Jirani na ninapoishi sasa alivyo mjinga siku moja moja anakuja na vitoto vyake kabisa anashinda navyo hapo na anavidanganya eti huyo ni Aunt yao ipo siku ataumbuka tu. Na ni kweli kuwa Mwanaume mjinga huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kama ilivyo kwa mwanamke mjinga
Liambieni hili jamaa maana maana mimi nashindwa kulielewa kabisa, cjui lina elimu gani kwanza
hahahaha! hiyo katuni imenifurahisha sana, Urakoze chane.
Liambieni hili jamaa maana maana mimi nashindwa kulielewa kabisa, cjui lina elimu gani kwanza
Wanaume bhana hivi mtu ambaye huna malengo naye utampelekaje kwakoo??????
Kale katoto kambea sana.
Kale katoto kambea sana.
Wanaume bhana hivi mtu ambaye huna malengo naye utampelekaje kwakoo??????