Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Duh kitanda kimoja atumie hawara na mke!ni sahihi huyo mke kuondoka!ila pole kwa kutofikiria athari za kumpeleka hawara nyumbani
Hawara yake gesti tuuu,ht akija nyumbani atafanyiwa kwa zuria.
Duh kitanda kimoja atumie hawara na mke!ni sahihi huyo mke kuondoka!ila pole kwa kutofikiria athari za kumpeleka hawara nyumbani
Mimi nimeingi hapa ndani ya mada kwa kukushukuru kuweka hii joke, nimecheka sana.
Mimi nimeingi hapa ndani ya mada kwa kukushukuru kuweka hii joke, nimecheka sana.
Malaya mzembe pole..
:majani7: :majani7: AKUMBUKWE MUASISI BOB MARLEY MWENYEWE, KAPATA WAHANGA, WENGINE HATA HAWAJITAMBUI!
Kabisaaa...abarikiwe sana,well doneyaani alizidi tu...huyo mtoto na abarikiwe huko aliko
Jamani jana alikuja wifi/shemeji yenu toka kijijini kwani nilimwacha baada ya kupata kibarua hapa mjini, kama ilivyo kawaida ya wanaume tulio wengi haturidhiki(mungu atusamehe) niliamua kuwa na mpenzi mwingine hapa town wa kutuliza mashetani ya kipanda, kosa nililofanya ni kumleta mpaka sehemu ninayoishi akawa anakuja mara kwa mara mpaka kuzoeana na watoto wa mama mwenye nyumba, sasa jana my waifu katia timu mjini kutokana na kubanwa na shughuli za ofsini nikamtuma jamaa yangu akamchukue ampeleke nyumbani kizazaa kilianza baada ya kufika nyumbani kuna kitoto pale nyumbani kina miaka kama 6 hivi kamemwambia kila kitu, nimetoka kazini nikakuta waifu kasepa kurudi nyumbani na amesema hataki ndoa tena, nimekoma jamani nimejitetea mpaka basi lakini hanielewi naogopa ndoa yangu kuvunjika.
Na wewe pia ubarikiwe sana.Ubarikiwe...
Unaogopa ndoa kuvunjika au ndo imeshavunjika!Jamani jana alikuja wifi/shemeji yenu toka kijijini kwani nilimwacha baada ya kupata kibarua hapa mjini, kama ilivyo kawaida ya wanaume tulio wengi haturidhiki(mungu atusamehe) niliamua kuwa na mpenzi mwingine hapa town wa kutuliza mashetani ya kipanda, kosa nililofanya ni kumleta mpaka sehemu ninayoishi akawa anakuja mara kwa mara mpaka kuzoeana na watoto wa mama mwenye nyumba, sasa jana my waifu katia timu mjini kutokana na kubanwa na shughuli za ofsini nikamtuma jamaa yangu akamchukue ampeleke nyumbani kizazaa kilianza baada ya kufika nyumbani kuna kitoto pale nyumbani kina miaka kama 6 hivi kamemwambia kila kitu, nimetoka kazini nikakuta waifu kasepa kurudi nyumbani na amesema hataki ndoa tena, nimekoma jamani nimejitetea mpaka basi lakini hanielewi naogopa ndoa yangu kuvunjika.
Yule anaejiona mtakatifu na awe wa kwanza kumpiga mawe na kumdhihaki huyu bwana
Ndio ulikuwa unataks oa sasa huyo uliemkaribisha kwakk