Mtoto kamuambukiza Mama. (The truth)

Mtoto kamuambukiza Mama. (The truth)

Jana isingewezekana, nilikuwa na mualiko na pia siwezi kufanya hiyo kitu bila kujua afya na mengineyo mkuu.
Kupata ukimwi sio jambo dogo kufanya mapenzi ingekuwa kupata ukimwi tungeondoka wengi halafu kuna kondom ina bidi huwe nazo mda wote kuna dharula
 
Hata kama ukiamua kutokuanzisha naye uhusiano bado upendo unaomuonyesha mwanae ni jambo kubwa na thawabu kwa Mungu. I'm a single mom to a lovely boy.. moja kati ya vitu vinavyoniuma ni kuona dhahiri kuwa mwanangu anakosa male role model or father figure.

Kiasi mwanaume yeyote akionyesha kumchangamkia humbatiza jina la baba though Ana baba yake mkubwa plus my new guy ambao ndio wamekuwa baba zake. .. nashukuru Mungu he has a father figure he can look up to!
 
Pole mkuu.
Kwa hiyo ni jambo zuri sana kumbe hili.

Nachowaza mm huyu mamake aki fall mambo yataharibika coz (atapunguza mahaba kwa jamaa).

jamaa anakujaga japo mtoto anakuwaga hana time nae kabisa ila nahisi ni partner wake. Sasa ishu itakuwa ngumu kwa sababu hii ni unplanned relation (mtoto ndio kaambukiza)

Huwezi amini haipiti siku dogo hajaja napoishi sasa daah hata nikipata girlfriend sijui atakuwa anaelewaje.
 
Habar za asubuhi.
■Wakuu kuna mwanamke amehamia apartment za hapa mtaa wetu siku sio nyingi sana. Ana mtoto mmoja na huwa tunaona jamaa anakuja juma mosi asubuhi na kuondoka mida ya jioni pale(nahisi ni partner wake)
■Mtoto wake anapenda sana kukaa karibu na mimi na akiniona narudi kutoka mihangaiko anakuja mbio kunipokea basi ikapelekea nikawa nakabebea vijizawadi (si wajua watoto tena)
■Mama ake akija kumchukua inakuwa ugomvi dogo hataki kuondoka labda nimchenjie mimi au nimpe kitu tumbembeleze ndio anakubali.
■Mwanzoni mamake alikuwa anapaniki sana baadae akawa cool, kadri siku zinaenda naona na mama mtu kaelemewa.
■Asipomuona dogo anakuja kwangu asipomkuta ananiomba nimsaidie kumtafuta. Sasa akaanzisha story kama kunichimba flani how I live na kwa vipi nina hulka ya kuwa nurture watoto.
■Kumbe bana kashaambukizwa na mwanae upendo, jioni jana kaja kanisaidia vijikazi vingi tu (alikuja kumchukua dogo) wakati tunaongea akaniambia "MY CHILD HAS BECOME A BRIDGE TOWARDS YOU"
nikamwambia sijakupata, akasema "I LOVE YOU, MWANANGU KANIAMBUKIZA"
.
(hakuwa na woga asee)
.
.
nikamwambia tutaongea kesho saivi muda umeenda kuna mahali naenda (nilialikwa na mdada flani super na alishaanza kuni text)

NB: HII ISHU IMETOKEA JANA.
You are finito...
 
Back
Top Bottom