Mtoto kamuambukiza Mama. (The truth)

Mtoto kamuambukiza Mama. (The truth)

Ila sasa usiende kwa kutaka kumtumia tu uwe na malengo nae mkuu.
Kama tunavyoumia sisi nao wameshaumia vile vile.
Hapo pananipa tabu sana.
Nikupeni siri: single maza mpende mwanae, naye atakupenda kwa dhati ya moyo wake
 
Mpaka leo unajifunza kupenda kaka?!

Kama hujawahi kupendwa huwezi kunielewa.

Unaijua hii : mpende akupendaye; asiyekupenda achana naye?

Unajua namna ya kuanza kumpenda akupendaye?

Kumpenda asiyekupenda inawezekana?
 
Mkuu nimekupata, go ahead.
Kama hujawahi kupendwa huwezi kunielewa.

Unaijua hii : mpende akupendaye; asiyekupenda achana naye?

Unajua namna ya kuanza kumpenda akupendaye?

Kumpenda asiyekupenda inawezekana?
 
Hata kama ukiamua kutokuanzisha naye uhusiano bado upendo unaomuonyesha mwanae ni jambo kubwa na thawabu kwa Mungu. I'm a single mom to a lovely boy.. moja kati ya vitu vinavyoniuma ni kuona dhahiri kuwa mwanangu anakosa male role model or father figure. Kiasi mwanaume yeyote akionyesha kumchangamkia humbatiza jina la baba though Ana baba yake mkubwa plus my new guy ambao ndio wamekuwa baba zake. .. nashukuru Mungu he has a father figure he can look up to!

Aisee nimeipenda hii, na nimeona huruma pia.

Nina uzoefu mwingi na haya masuala!

Pole; hongera!
 
Pole mkuu.
Kwa hiyo ni jambo zuri sana kumbe hili.
Nachowaza mm huyu mamake aki fall mambo yataharibika coz (atapunguza mahaba kwa jamaa).
jamaa anakujaga japo mtoto anakuwaga hana time nae kabisa ila nahisi ni partner wake. Sasa ishu itakuwa ngumu kwa sababu hii ni unplanned relation (mtoto ndio kaambukiza)
Huwezi amini haipiti siku dogo hajaja napoishi sasa daah hata nikipata girlfriend sijui atakuwa anaelewaje.

Likely, upo junction;

Amua moja; aidha gelfrendi au huyo mama. Hii ni iwapo upo serious.

Kama haupo serious, haya jichapie tu wote, then in case wakijuana, mnaparangana as such
 
Yaani ipo hivi, mfanyakazi ukitaka upendwe sana na bosi mpende mwanae na mtu mwenye uhusiano na single mom ukitaka upendwe kwa dhati mpende mwanae hiyo ni baadhi tu ya mifano
 
Ongeza mifano miwili mkuu
Yaani ipo hivi, mfanyakazi ukitaka upendwe sana na bosi mpende mwanae na mtu mwenye uhusiano na single mom ukitaka upendwe kwa dhati mpende mwanae hiyo ni baadhi tu ya mifano
 
Nitaamua soon mkuu.
Likely, upo junction;

Amua moja; aidha gelfrendi au huyo mama. Hii ni iwapo upo serious.

Kama haupo serious, haya jichapie tu wote, then in case wakijuana, mnaparangana as such
 
Back
Top Bottom