naona siku hizi nguvu ya polis inatumika vby
btw nyerere alikuwa na akli sana kutenganisha majeshi like mabomu yawe moro, vitupa mabomu viwe kigamboni magari na vifaru viwe msata, spea ziwe nyumbu. ni kama vile alijua utakuja uongozi ambao hauko makini na usalama so wakieka pamoja watauwa watu kwa haraka
sijui kwakwelihivi hawa waliopo sasa hivi kwanini wasingeendelea na hiyo system??? Good point imenigusa kweli.
What a hell!! Huko Mbeya jana nako wameumiza au kujeruhi na risasi (sijapata habari za mka mauti), Mbeya nako mmoja kambaka mtuhumiwa!! Hawa polisi wana tatizo gani!! Tanzania tunaelekea wapi?
Vurugu kati ya askari na madreva wanao park magari pembezoni mwa barabara maeneo ya Tegeta kwa Ndevu, zimsabasha umauti wa mtoto kwa kupigwa risasi na kufa.
source: shuhuda.
unalaana we we si bure huwezi shabikia polisi kuua wananchi bila sababu yeyoteNdugu zangu, nasikitika kwa kifo cha huyo mtoto, lakini ni ukweli kwamba Watanzania tumekuwa wabishi na wakaidi sana. Madereva wa daladala hawaambiwi kitu, wakakisikiliza na kukitekeleza. Kila mahali siku hizi ni ubabe tu.
Ndugu zangu, nasikitika kwa kifo cha huyo mtoto, lakini ni ukweli kwamba Watanzania tumekuwa wabishi na wakaidi sana. Madereva wa daladala hawaambiwi kitu, wakakisikiliza na kukitekeleza. Kila mahali siku hizi ni ubabe tu.
aaaaaaaaa Mama wa mtoto
......... baba yake...... ndugu zake.............. NASISI WATANZANIA -
TUNA UCHUNGU MaWINGI.......... jamani hawa POLISI NI WATANZANIA AU
TUMEINGILIWA NA M23???????
inabidi wachunguzwe urai .......... SIAMINI KINACHOENDELEA
JAMANI