Ahhh, Chanel moja ya nchini Czech Republic, ila sijui ni mji gani.
Kaunga, ni kweli inaeleweka ila wanachekesha sana wakati mwingine. Inanikumbusha enzi za utoto unaandika barua kwa kibinti cha watu
"kulala silali, nakuota wewe kila siku." Au mambo ya USA, ya kumpa mtu LAST MEAL wakati masaa machache baadaye WATAMUUWA.