Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

kumshitak ni kumuonea kwsbb pyschologically tayari ameshaathirika hasa kwa kilichotokea ikiwa ni pamoja na kutaka kuuawa, ni heri wangemuacha tu au km anashtakiwa basi ashtakiwe na mwenye kitabu kwsbb mi naona wote wana makosa,huyo mwenye kitabu km alijua kukojolea ni dhambi kwnn alikitoa kikojolewe?

mi naona wote wana makosa japo la yule mtoto halitakuwa kubwa sababu tu ya umri wake..kile kitabu ni cha jumuia!
Watoto hawana malezi toka kwa wazazi wao..
 
Mimi si mjuzi wa sheria za Tanzania ila nafikiria kuwa katika sheria zake anayefanya jambo huku akiwa provocated anaweza kuachiwa huru...jaribu kuulizia vizuri wanaojuwa sheria za Tanzania.

"Actus Non facit Mens Nici sit Rea" maana yake ni "mtu hatakuwa na hatia mpaka kitendo alichokifanya kiliambatana na nia Ovu".

Huu ni msingi wa criminal law.

Je mtoto alikojolea Quran akiwa na nia ovu? Nia gani? au alithubutishwa na mtu na akathubutu ili aone matokeo?

Je walioharibu makanisa walikuwa na nia ovu, ya kuharibu, ya kutia hasara, ya kukomesha?
 
Mimi naona tunaelekea pabaya sana katika nchi hii. Hakuna chuki mbaya kama chuku ya dini na imani. Tanzania hatukuwa hivi ila, taratibu watu kadha walianza bila kuchukuliwa hatua kupanda chuki za kidini ndani ya mioyo ya watu. Kumbukeni Rwanda chuki za kikabila zilianza kupandwa ndani ya watu kwa muda mrefu na mwisho wake tuliuona. Chakunisikitisha ni serekali hii kufumbia macho hawa watu wanotoa miahadhara yenye kupanda chuki dhidi ya wakristo.

Ushauri wangu ni kuwa, tulisemee hili katika katiba yetu mpya, kwamba mtu hata ruhusiwa kupanda mbegu ya ukabila au udini na akifanya hivyo kuwe na sheria ya kumshugulikia. Hapo tutaiokoa nchi yetu kutoka janga hili ambalo limeanza kujitokeza wazi. GOD BLESS TANZANIA!
 
Ukweli husemwa:

Mkuu, mbona sikuelewi vizuri. Una maana gani kwa hilo neno kwenye red. Naona kama umefanya makosa ya uandishi na kama ni hiyo, jaribu kurekebisha ili wanajanvi wajadili vizuri.

Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.

Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.

Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.

Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?

Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
 
Binafsi siamini sana katika hizi dini za kuletwa na meli, lakini huwa nashukuru sana kulelewa katika misingi ya Kikiristo maana daima imenifundisha kutenda yalio mema miongoni mwa binadamu mwenzangu maana kuanzia hapo ndio nitatimiza ya Mungu

Daima nafundishwa mtu akikulazimisha kwenda maili moja basi nenda naye mbili,
akikunyang'anya kanzu basi mpe na kofia,
akikupiga kofi shavu la kulia basi mpe na lakushoto
Tena nasisitiziwa nisamehe saba mara sabini na kana kwamba haitoshi inaniambia niwapende adui zangu na niwaombee kwa Mungu wapate kubadilika
Nafundishwa daima nisihukumu maana hukumu inatoka kwa Mungu tu
Yesu alituachia amri mpya Pendaneni hata akiwa adui yako

Na mengine mengi ambayo kibinadamu yanaweza kuwa magumu kutekelezeka lakini mmsingi wake ni AMANI na ndio maana tunaona hadi leo hii makanisa yanachomwa moto hapa TZ lakini huwezi sikia mkristo kajibu mapigo, Yesu ataitwa sio Mungu lakini huwezi kusikia mkristo kaandamana eti Mungu wake kakashfiwa na hata sasa huko Mbagala huwezi kusikia eti wakristo wanafanya vurugu kulipiza makanisa kuchomwa maana tumefundishwa msingi mkuu ni upendo na amani pia tunafundishwa ni Mungu pekee mwenye kuhukumu na Mungu ni alfa na omega mwanzo na mwisho, hakuna anyeweza kufanya kazi ya Mungu zaidi yake mwenyewe

Sielewi misingi ya Uislam ikoje katika hili, na sitaki kuamini kama waliofanya vile kule Mbagala waliendeshwa na misingi ya dini ya Uislam bali ni kundi la baadhi ya wahuni wakiislam
 
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!

Napenda sana fikira na matamshi ya Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam. Napenda matamshi kama haya, yanaona zaidi ya kile kilicho mbele yetu, huu ndio tunasema kukomaa kifikira, ahsante. Na kwa kusema hivyo sina maana ya kuwadharau wale walioonyesha ujuha wa ajabu, ila ninawasikitikia, maana yumkini hawakujua kwa nini wanafanya hivyo. Walifundwa kwamba likitokea jambo la namna ile ni jinsi gani wanapaswa kukabili. Sio kosa lao, ni kosa letu tuliochekelea wakati tulijua wanafundwa vile.

Amani yetu iko mashakani kweli. Asante tena kwa msimamo wako huu.
 
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.

Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.

Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.

Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?

Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.

Je aliyeitoa hiyo Kuran ili ikojolewe naye atashtakiwa kwa kuidhalilisha Kuran
 
kwangu mimi mtuhumiwa namba moja ni yule aliesababisha msaafu ukojolewe, la sivyo tutakua tunaangalia tulipodondokea kabla ya tulipo jikwaa.!
 
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??
 
Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya
Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!
Hebu tufahamishe huko Pemba yalichomwa makanisa au misikiti mingapi kufuatia tendo hilo la kudhalirisha kitabu!
TBC1 siku ya Jmosi asubuhi saa 12 walitangaza kuwa mtoto alifanya kosa hilo baada ya ubishi wao mmoja alisema ukikojolea kitabu utakuwa mnyama ndipo mwenzake akakojolea.Nadhani na mtoto aliyesababisha mwenzake akojolee kitabu naye angefikishwa mahakamani,ili kuondoa dhana inayoanza kujengeka ya mbinu chafu zinazotembezwa ili kupata mahali pa kuanzishia fujo.
 
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.

Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.

Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.

Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?

Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.

Mimi nadhani huyo mwenzie alieanzisha huo ubishi kwamba ukikojolea msaafu utakuwa chizi naye afikishwe mahakamani, yeye ndie hasa chanzo, maana nadhani alimuambia kama unabisha kojolea uone kama huwi chizi! Kwanza huyo aliekojolea huo msaafu aliupata wapi kama sio kuletewa na huyo kijana alieyekuwa anasema kojolea uone?

Sasa sijui hapa nani amekuwa chizi, kati ya aliekojolea msaafu na waliokojolewa msaafu! Maana kuchoma kanisa ambalo halikukojolea msaafu ndio uchizi namba moja kabisa!
 
Kumbe mtoto ana akili kuliko waislamu wote walioshiriki upumbavu na ujinga walioufanya mbagala?
 
Hawa waislamu wanapewa kichwa na mjomba wao alioko madalakan, mbona kwa mkapa hawakufanya haya? Wakristo sasa tujipange kwa lolote maana hawa maamuma wamejizoeya
 
Mimi nadhani huyo mwenzie alieanzisha huo ubishi kwamba ukikojolea msaafu utakuwa chizi naye afikishwe mahakamani, yeye ndie hasa chanzo, maana nadhani alimuambia kama unabisha kojolea uone kama huwi chizi! Kwanza huyo aliekojolea huo msaafu aliupata wapi kama sio kuletewa na huyo kijana alieyekuwa anasema kojolea uone?

Sasa sijui hapa nani amekuwa chizi, kati ya aliekojolea msaafu na waliokojolewa msaafu! Maana kuchoma kanisa ambalo halikukojolea msaafu ndio uchizi namba moja kabisa!

Ukweli ni kwamba walalamikaji hupenda sana ushindani na wanaposhindwa hukimbilia fujo na matokeo yake ni uhuni na ushenzi mtupu.
 
Najitolea kumlea huyo mtoto nuymbani kwangu, siku akitoka polisi. Najua akirudi Mbagala hatakuwa salama
 
kamuhanda na yule mvuta bangi wa ffu bado wapo mitaani wanadunda tu! upuuzi mtupu huyu rais, cjui tulitokana naye wapi!?
 
Back
Top Bottom