Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
We Nikas na Nivea hamjawahi kuishi kwa watu? kuishi na watu kwa muda kwa nia ya kuwasaidia wafikie malengo yao, si vibaya.mmoja kufanya makosa msiwapunish wengine wote. mkifa kabla ya siku watoto wenu wataenda kuishi kwa wakina nani?
Muda gani huo? Unawasaidia nini? Kwa nini msaada uzid uwezo? Huruma huzaa dhambi.
HALAFU kufa kabla ya siku ndo nini? Siku gani maalumu kufa? Siku nitakayokufa ndo siku ambayo Mungu amepanga nife.
Tena anaona haya sana, na anafikiri hao watoto alio nao huko ndiyo wwatakuja msaidia, maana anamkataba na Mungu, mm nakushauri Walimweusi kuwa wewe kaza buti, na usisikilize ya huyo Bro wako, wewe fanya kama unatoa sadaka Mungu atakulipa Mema,. Na kwa kuwa Bro hamtaki huyo mtoto usimwambie baba yake ni nani, Nyamaza kimya. Ila iko siku isiyojulikana kwa uwezo wa Mungu atakuja kukupigia magoti akiomba msamaa. Tumewaona wengi wa hivyo.ale kona zake, yeye anajua kuzaa tu na kutelekeza? we umefanya jambo jema, mlee huyo mtoto kama nafsi yako inavyokutuma, achana na vitisho vya huyo kaka yako nafsi yake inamsuta na anaona haya tu kukubali kwamba alifanya makosa enzi hizo!!1
Mpuuze huyo kaka yako. We mlee huyo mtoto kama ambavyo ungeweza mlea mtoto mwingine ambae si ndugu yako. Kama alikataa kama mtoto sio wake alifuata nini kwako? nawewe usijipendekeze kwake kujionyesha unamlea mwanae. we komaa kivyako na akikuuliza tena mwambie huyo mtoto hamhusu.
kwanza hongera kwa uamuzi
ulifanya wa kumchukua mtt
huyo ni wa kwako,huyo kaka ako
apeleke laana zake huko kwa mke wake!
si alimkataa sasa inamuuma nini wewe kumlea mtt!
mungu akubariki wala huyo kaka asikutishe ila
angalia usalama wa mtt,asijemuua bure coz
chuki juu ya mtoto inaonekana dhahiri!shame on him!!!
Tena anaona haya sana, na anafikiri hao watoto alio nao huko ndiyo wwatakuja msaidia, maana anamkataba na Mungu, mm nakushauri Walimweusi kuwa wewe kaza buti, na usisikilize ya huyo Bro wako, wewe fanya kama unatoa sadaka Mungu atakulipa Mema,. Na kwa kuwa Bro hamtaki huyo mtoto usimwambie baba yake ni nani, Nyamaza kimya. Ila iko siku isiyojulikana kwa uwezo wa Mungu atakuja kukupigia magoti akiomba msamaa. Tumewaona wengi wa hivyo.
Hilo nalo neno, ila my kids wanalindwa na Damu ya Yesu so I believe hatomuweza kwa njia yeyote ille!!
utabarikiwa sana na utapata mengi na faida nyingi kwa kupitia huyo mtoto. Fumba macho na ziba masikio juu ya chochote kibaya utakacho ambiwa juu ya huyo mtoto...hakika mfanye huyo mtoto awe mwanao atakuja kukusaidia
Kwanza Mungu akubariki sana kwa roho yako ya utu. Huyo mtoto hata asingekuwa wa bro, bado ulichofanya ni thawabu kubwa san mbele za MUNGU. Huwezi jua atakuwa nani kesho, na huwezi jua nani atalea wanao yatakapo kufika. Lakini zaidi kwa kufanya hivyo unafungua milango ya baraka, kwani huyo mtoto hakuchagua azliwe katika mazingira yenye utata kiasi hicho. God bless you.Huwa nashangaa mzazi wa namna hii??? Walimweusi mie nakushauri tu hebu jitahidi kwa vihela vyetu hivi hivi vidogo umsomeshe hadi panapo uhai wa Mola. Maana hujui kesho yako!. Hivi huyu baba nafsi mwake anasubiri kusikia mtoto wake kapata mafanikio ndio aje aseme mimi ni baba yako?? Usiogope vitisho kaza roho!
Nikas hujajibu swali. ukifa wanao wadogo wataishi na nani? maana we hupendi watu waishi kwako, so we wako wataenda kuishi orphanage?