Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,158
- 2,273
Halafu bado waislam koko km Ritz na Lipumba wanasema waislam waipende CCM?Mtoto katoka madrasa anafanyiwa haya....pale soweto watu hukatiza sana na wengine huenda ktk mazoezi.
Watoto wa wapangaji pale km ilivyo kwa watoto wadogo wote wa Arusha "Huipenda sana CDM", kuna uwezekano CCM ikawa imewapa madhara makubwa sana kisaikologia.
True watoto wa dada yangu kwao ni soweto walikimbilia kwenda kumuona Lema wakakaa mbele nao wako injured inauma sana...