Mtoto aliye jeruhiwa na Bomu Afariki leo

Mtoto aliye jeruhiwa na Bomu Afariki leo

Bahati1

Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
39
Reaction score
11
Makamanda mtoto mwingene afariki leo alijeruhiwa na bomu mungu aiweke roho yake pema peponi na katibu wa mbunge yuko I.c.u hali yake mbaya cna mh gabu anahali.mbaya cna tumwombeeni jamani tanzania inatakuwa somalia jmni mungu ibariki chadema mungu ibarki tanzania ccm na chadema zote zinapita tu vyama vya siasa zinapita tu tujali ubinadamu vyama vinapita tu tujenge mshkamano na upendo jmni r.i.p makamanda wetu siasa sio uwadui jamani viongozi wa dini iombeeni nchi yetu jamani inaelekea pabaya cna waislaam na wakristo ombeeni taifa hli jamani kesho ndyo tunawaaga miili ya marehemu uwanja wa soweto njooni tuwasindikize makamanda wetu
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
 
Omba MoDs wakurekebishie heading. Inasikitisha sana. Damu hii haitakwenda bure. Ni lazima haki itatendeka.
 
Ee Mungu waangazie majeruhi walio hospitali"Jah luv is superior never come back inferior....
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
tofauti na ufikiriavyo mkuu tumia akili kidogo tu kutambua mambo haya ambayo hata mtoto wa chekechea ana uelewa zaid yako.
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.

Mods mnasubiri nini kumpa ban huyu jamaa?
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
Hivi mwigulu ndiyo anaitwa chadema siku hizi?kweli huyu mtu mbaya sana alaaniwe sana.
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
Mmechoma makanisa,mmeua mapadri na wachungaji,mashekhee mmewamwagia tindikali..hata shetani huva kivuli cha Mungu hatupati shida kuwatambua,alichongea Nape nikichekesho,hivi kwa kaule hile anaonekana ccm wanajisafisha,ccm mnaupizan gani Arusha kias kwamba chadema wazuie uchaguzi,kwa umati ule wa soweto unafanana na kauli ya Nape.,watanzania sio wajinga wa kung'amua yanayotokea
 
tupe taarifa kamili mkuu tuna hamu ya kujua huyo mtoto anaitwaje, yuko wapi nk
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
Sio bure unaitwa ""SUMU"" nimetafuta tusi la kukutoshea nikaona hakuna nimeona nikuambie tuu MENEERII ...tafuta masai atakusaidia maana ya hilo neno zuri linakufaa Broo!!
 
NI masikitiko makubwa sana. Hivi kama huu ni uchaguzi wa tarafa sijui wa kitu gani. sasa hiyo 2015 itakuwaje?
Lakini ninacho shukuru kw ajinsi Mungu anavyo ipenda Tanzania ata wafutilia mbali hawa Majambazi kabla ya 2015.
Na tanzania itakuwa na amani. wakati huo ikiitwa Tanganyika
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.

Kwa taarifa yako sasa hivi tukisikia Mwigulu/CCCCCM inakuja taswira ya shetani na makandokando yake yote.......mtashindana lakini hamtashinda hata siku moja
 
Sio bure unaitwa ""SUMU"" nimetafuta tusi la kukutoshea nikaona hakuna nimeona nikuambie tuu MENEERII ...tafuta masai atakusaidia maana ya hilo neno zuri linakufaa Broo!!

anastahili aitwe ENGOMOS na magamba yake yenye Sumu
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.

Una akili ya mnyama ambaye Iringa ni kitoweo
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
Ulaaniwe wewe na mafisadi wote wa CCM. Mungu awageuze muwe zaidi ya KANU ilivyo kule Kenya sasa hivi.
 
Back
Top Bottom