Mtoto aliye jeruhiwa na Bomu Afariki leo

Mtoto aliye jeruhiwa na Bomu Afariki leo

Mtoto aeleza kupigwa risasi

Adam alisema jana kuwa alipigwa risasi na mtu aliyekuwa amevalia sare za polisi, wakati akitoka madrasa akiwa na ndugu yake, Fahdi katika eneo la Soweto.

Alisema akiwa njiani, aliona watu wakimkimbiza mtu na ghafla alishangaa kupigwa risasi na kuanguka chini.

“Namkumbuka aliyenipiga risasi alikuwa amevaa sare za polisi,” alisema Adam mwanafunzi katika Shule ya Msingi Levolosi huku akitokwa machozi.

Source: Gazeti la Mwananchi
 
Pole sana Adam,nazani Nape atasema huyo askari ni chadema.
 
Kama tulivyo na "majanga" kwenye elimu ni vile vile pia ilivyo katika mafunzo ya Ma-polisi huko CCP-Moshi...! Hawa askari polisi wanafundishwa "mguuuu pande. mguuu sawa... mbele tembeaaa...nyuma geuka". Baada ya hapo wanapewa vyeti na kukabidhiwa bunduki...! s h a m e...!
 
Nape, je huyo polisi ni wa Chadema? Uwe unajaribu kuushirikisha ubongo wako unapoongea. Si kwa vile upo ccm ndo ujitoe mpaka hata akili za kuvukia barabara. Nyambfff!!!!
 
...innalillah wainailaih rajiuun...
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
Unalaaniwe wewe na mwenyekiti wako Kikwete mratibu wa mauaji -Tanzania uzuri majibu yake atayapata kabla hajafa
 
Mungu ampumzishe kwa Amani.

Kwa mwananchi wa kawaida akisikia neno CHADEMA akilini mwake inakuja taswira ya vita na machafuko.

CHADEMA ilaaniwe.
hivi unaanisha nini hasa, tuwe wazi ili tuelewe
 
Wakati umefika sasa watanzania tumlilie Mungu jamani, yaani haya yanayotendeka sasa katika Taifa hili yanaumiza kichwa kiasi kwamba hujui baada ya hili nini kinaandaliwa kutokea. Mungu wetu yupo na atatusaidia tu iwapo tutamuomba
 
Nawapa pole waathirika wote wa mabomu Munguyupo atawasaidia,ninachoamini ni bomu la makusudi lililotumwa kwa watu maalum wataficha ukweli iposiku uongo utajitenga na ukweli,na hayayote ni watu wanaotaka madaraka ya nchi hii kwa nguvuzote hata kama wanajua wanancii hawataki serazao mana hawana jipya,kuna watu wamekaa kimyaaa kama hawapo lakini waposana wanapanga mambo machafu kwa kuwatisha watu,watanzania sasa hawaogopi tena liwalo na liwe tumuome Mungu na mabomu yao ipo siku shetani atawalipua wenyewe mana kawaida ya shetani humtuma mtu akaibe akishaona umenogewa anawatuma watu wakukamate. PEPOZ POWER MBELE KWA MBELE.
Ee Mungu waangazie majeruhi walio hospitali"Jah luv is superior never come back inferior....
 
Ujio wa chadema umeleta ghasia vifo watu kuchukiana maandamano ujambazi mauaji vitisho kutekwa watu kuishi kwa hofu kubaguana kwa dini na kabila bunge lisilo na nidhamu .......
 
Ujio wa chadema umeleta ghasia vifo watu kuchukiana maandamano ujambazi mauaji vitisho kutekwa watu kuishi kwa hofu kubaguana kwa dini na kabila bunge lisilo na nidhamu .......

Username yako inaonyesha kua wewe ni CUF.
 
Makamanda mtoto mwingene afariki leo alijeruhiwa na bomu mungu aiweke roho yake pema peponi na katibu wa mbunge yuko I.c.u hali yake mbaya cna mh gabu anahali.mbaya cna tumwombeeni jamani tanzania inatakuwa somalia jmni mungu ibariki chadema mungu ibarki tanzania ccm na chadema zote zinapita tu vyama vya siasa zinapita tu tujali ubinadamu vyama vinapita tu tujenge mshkamano na upendo jmni r.i.p makamanda wetu siasa sio uwadui jamani viongozi wa dini iombeeni nchi yetu jamani inaelekea pabaya cna waislaam na wakristo ombeeni taifa hli jamani kesho ndyo tunawaaga miili ya marehemu uwanja wa soweto njooni tuwasindikize makamanda wetu

ccm is now killing even children.....rest in peace young warrior! damu yako itamlilia Mungu kutoka katika uso wa ardhi....hii ni laana kubwa kwa taifa kupitia chama cha mapinduzi
 
Ujio wa chadema umeleta ghasia vifo watu kuchukiana maandamano ujambazi mauaji vitisho kutekwa watu kuishi kwa hofu kubaguana kwa dini na kabila bunge lisilo na nidhamu .......

this is the philosophy that you and mwigulu want everyone to admit......fujo hizi na maonezi ndizo zitazaa tanzania mpya ambayo wewe na kina ritz one hamuipendi...tanzania ambayo kila mtu atakula jasho lake..yenye usawa na haki....nuru na amani...
 
oh RIP MDOGO MWANANGU SI BADO TUPO KWENYE MAPAMBANO HAYA HAKIKA ALIYEKUUA KWA SEKUNDE ATAKUFA KWA MATESO MAKALI
 
Kibaya zaidi mmechagua arusha kufanyia vurugu zenu kwa kua sio kwenu.mbona moshi kwenye majumba yenu na mashamba yenu hamuandamani mkiogopa kuharibu mali zenu.mjue sisi waarusha tumegundua janja yenu
 
kwa hiyo waipende chadema inayotekeleza mauaji?

Endelea ku reason zaidi si premises zot nimekupa...kwani kila hatua unimiulize ufanye nini?hamuwezi fanya kazi under minimum supervision?Then hhukustahili kuingilia huu mjadala.
 
Back
Top Bottom