Mtoto alipoharibu

Mama yako sina hivyo vinasaba wewe utavitoa wapi!!
Huu wito chaaaah!!
 
Usitafute justification hapo, kumbuka kuchepuka is a choice so you can ought not to. Kwahiyo ukiamua kuchepuka usitafute wa kumlaumu,its all on you.
wewe ungemshauri mke wa Peter kuachana na ndoa?
 
Haha sasa ukikubali conditions na majukumu ndiyo umekubali uke wenza.
 
Samahani mkuu,icho kisa Ni cha Leo kwani? Mbona sikukuu zimeshapita siku nyingi.. Au umemaanisha sikukuu za maulidi
 
Samahani mkuu,icho kisa Ni cha Leo kwani? Mbona sikukuu zimeshapita siku nyingi.. Au umemaanisha sikukuu za maulidi
Gossip za sikukuu si ndiyo mnacatch up mkurudi ofisini mkuu.
 
Hata wewe kuwa makini,umri haumsubiri mtu mkuu!!.....Jitahidi upate kijana(hili neno 'kijana' huwa linanifurahisha sana Dinazarde anavyolitumiaga) hapa JF!
 
Haha sasa ukikubali conditions na majukumu ndiyo umekubali uke wenza.
Conditions zilizopo zita mpa mke halali nafasi ya kulinda ndoa yake , kuto toa nafasi jamaaa kuhusika kimahusiano na huyu mama wa nje, bt mean while haki za mtoto zilindwe ila sio ku share kwa zamu
 
Kwasababu hapa ukimuacha aende kumtembelea mtoto ataletwa wa pili.
Unadhani ukikusanya watoto wake aliozaa nje ndo utamfunga asichepuke tena?. Afadhali hata kakuletea tu watoto, maana hakawii kukuletea AIDS na HPV huko. Ila nisiseme sana, maana ukute nina neema ya kulea watoto wa michepuko ya mume wangu teh (God forbid)
 
Mimi ni hacker mzuri sana hapa JF mkuu huwa natembeleaga pm,whatsapp,SMS,calls e.t.c za watu mbalimbali!!
.......Siku ukimpata kijana nitagundua instantly!
Basi umechelewa basi la mshahara.
 
Huko ulikofika ni reality lakini hatuombei, UKIMWI uko controlled siku hizi cha kuogopa ni HPV.
 

God forbid.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…