Mtori wa ukweli unapatikana wapi?

Mtori wa ukweli unapatikana wapi?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,438
Reaction score
166,886
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.
 
Break Point upo wa ukweli..jaribu pale
 
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.

Nenda Tarakea pale Mwenge
 
hapo break point mtori wao wanajaza maji hao.
Kama sio maji, basi supu yao wanayowekaga kuchanganyia ndo tatizo.
 
zamani ulikua wapatikana pale ymca cafeteria karibu na holiday inn posta mpya, lakini nadhani baada ya management mpya kushika hatamu, hawauzi tena
 
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.

Mburahati kuna nyama choma ya yule mdudu haramu...mtori bomba sana...hamna uchakachuaji pale. Halafu we buji huwa unakeshaga chit-chat 25/7 si ndio??aagh Nalog off.
 
Dah hapo Mburahati umenitamanisha mno aisee
 
Buji, hebu pita uzi wa x-paster wa mahanjumati umchukulie mamaa recipe. Pita hapa kwangu uzoee supu ya mbuzi na chapati swaafi, ila uje na mkeo.
 
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.

Mtori ulioenda shule unapatikana pale bamboo kinondoni kwenye ile baa marufu kwa watu fulani.na chapati tamu yummy yummy
 
Nenda jackies masaki,bonge la mtori na chapati nzito,i used 2 go there.
 
Mwambie bi bujibuji akutengenezee mwenyewe,mitori ya kwenye baa iko kibiashara na huwa wanajaza maji maradufu.
 
Back
Top Bottom