Mtori wa ukweli unapatikana wapi?

Duh, nakualika kesho mtori wa nazi na nyama ya kutosha. Chapati njoo nazo sio expert hapo.

Wapenda niandae juisi au chai mchaichai au soda?

Kuna mkate wa kumimina tu hapa kwangu.
 
nenda pale mess ya polisi moshi mjini.sema tatizo lao nyama wanaweka mifupa mingi halafu soda wanauza za aina moja tu, jamii ya cocacola.mia
 
Mbeya- Karembu Bar,Iringa-Sterio Bar,Morogoro-Bar iliyopo opposite na Stand ya Daladala Masika,Dar-Hongera na Bar mpya iliyokuwa yaitwa Angels nyuma ya Bamaga,Dodoma-Rose Garden,Songea-Serengeti Bar,Sumbawanga-Safari Bar kwa Hosi,Mpanda-White House ya Mama Lupembe,Njombe-Restaurant ya Mama Pindi Chana,Tanga-Nyinda View,Moshi-Arawa,Arusha-Sombrero,Boma Ng'ombe-Boma Club. itaendelea...
 
Duh, kunywa maji kwanza utaishiwa pumzi

Mbeya- Karembu Bar,Iringa-Sterio Bar,Morogoro-Bar iliyopo opposite na Stand ya Daladala Masika,Dar-Hongera na Bar mpya iliyokuwa yaitwa Angels nyuma ya Bamaga,Dodoma-Rose Garden,Songea-Serengeti Bar,Sumbawanga-Safari Bar kwa Hosi,Mpanda-White House ya Mama Lupembe,Njombe-Restaurant ya Mama Pindi Chana,Tanga-Nyinda View,Moshi-Arawa,Arusha-Sombrero,Boma Ng'ombe-Boma Club. itaendelea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom