MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,475
Habarini wakuu
Hivi hiki kinywaji kina asili ya mkoa gani?
Hivi hiki kinywaji kina asili ya mkoa gani?
Sio kinywaji Ni chakula laini kilichotengenezwa kwa supu,nyama na ndizi(hasa kitoke)Habarini wakuu
Hivi hiki kinywaji kina asili ya mkoa gani?
Wa dar huoUtamu wa mtori vitunguu.
Wachagga mtori✔Mtori ni asili ya wachaga,kule wanakunywa asubuhi na chapati ndio Siri ya wachaga kuwa na akili mingi,na mtori tumeu expose nchi nzima Chagas sio watu wa mchezo mchezo
Na mbege pia
Sio kinywaji Ni chakula laini kilichotengenezwa kwa supu,nyama na ndizi(hasa kitoke)
Mtori asili yake ni chakula cha kabila la wachaga. Hiki chakula ni maalum (kilikuwa maalum kuwa sahihi zaidi) kwa kinamama waliojifungua. Miezi mitatu ya mwanzo baada ya kujifungua ndicho kilikuwa chakula chao kikuu (pamoja na kingine cha aina ya mtori, lakini badala ya nyama na supu kinachanganywa na maziwa ya ng'ombe ya mgando). Siku hizi mtori umeenea sehemu nyingi na umekuwa unauzwa kama kifungua kinywa.Mtori ni asili ya wachaga,kule wanakunywa asubuhi na chapati ndio Siri ya wachaga kuwa na akili mingi,na mtori tumeu expose nchi nzima Chagas sio watu wa mchezo mchezo
Kabisakabisa mkuu wangu. Na sijawahi kujuta kuwa mangiHa ha haa @Asprin kumbe wewe ni Chagga man kamanda!
Ha haa poa kamanda,Kabisakabisa mkuu wangu. Na sijawahi kujuta kuwa mangi
Huku Barca, kule Liverpool, hapa Simba then mbege na mtori....mwaka wa raha sana huuHa haa poa kamanda,
Barca 4-0 Sevilla, FT
Usiku mwema!