The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,905
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ... dah... Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ... nikashangaa Sana....mtori nilio Zoea ndizi zinachemshwa na nyama Hadi zinasagika zenyewe na haziwezi kuwa uji kabisa kama WA kusaga na blender....nahisi mtori Una makabila yake ...sio kila mtu anaweza pika mtori...
Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...
Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikaji mtori..
Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...
Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikaji mtori..