Mtongoze mwanamke mara 3 tu akikataa achana nae

Mtongoze mwanamke mara 3 tu akikataa achana nae

Hao wa mara tatu ni wanawake wa jf au wa mtaani. Tuanzie hapo
 
ivi nyie mnatongozaje maana kila mwanamke naempata huwa ananiambia sijui kutongoza
 
Nini kutongoza wakati wanajileta wenyewe....

I’ll spare my brain cells for some other worthwhile cause than some pussy that has a ton of mileage on it.
Siku hizi mwanaume ikipita wiki nzima hakuna mwanamke aliyekuletea japo suggestive gestures, jitafakari. Na ni wanaume wote hadi vibabu.
 
Mara moja mi inatosha no wonder nimechezea vya mbavu lukuki
 
Mara 3...???khaaaaa naomba kazi Ikulu au?Dunia ya leo hii hatutongozi unatakiwa uchonge tu barabara basi binti mwenyewe anapita kuileta ulipo yaani ile dizaini mmetoka dinner kushtuka mko uchi ghetto ivyo yaaani.
 
mm king'ang'anizi aisee ukinikataa naenda mpaka kwa wazazi wako
Kufanya nini sasa kwa wazazi, hapo anaishi na kaka zake hujatolewa nundu[emoji29] [emoji29]
 
sasa ndio unikubalie ili yaishe mm nimetoa isia zangu ww hutaki ntawafuata mpaka wazee wa mtaa wako na mababu zako labda nisiwe nimekupenda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom