Mtongoze mwanamke mara 3 tu akikataa achana nae

Mtongoze mwanamke mara 3 tu akikataa achana nae

sasa ndio unikubalie ili yaishe mm nimetoa isia zangu ww hutaki ntawafuata mpaka wazee wa mtaa wako na mababu zako labda nisiwe nimekupenda
Yan donga haya maneno yako yananifanya nacheka sana mana unanikumbusha mbali sana
 
Mfano mimi nikiwa deeply in love with someone
wakati namueleza hisia zangu mwili hua
unanitetemeka kabisa, mapigo ya moyo yanenda
mbio.





MKUU KUTONGOZA TU MOYO UNAKUTETEMEKA JE UKIFUMANIA??



Kifo hakina formula aiseeeee!!!!
 
Yaan leo wote watajifanya hawatongozi kumbe wanalia lia huko kwenye mitongozo
Wengi hapa wanajitoa tu, lakini tukibahatika kuongea na wapenzi wao waseme ukweli unaweza kucheka sana namna walivyokuwa wanalia.

Anyway! na mm n mwanaume, kwa upande wangu mtongozo mmoja tu na kukubaliwa hauna RADHA kwangu,kwanza nitamkimbia na kumuogopa huyo mwanamke! Usumbufu una RADHA na RAHA yake bhana.

Ila sasa iwe n serious relationship sio wakuzuga!
 
Wengi hapa wanajitoa tu, lakini tukibahatika kuongea na wapenzi wao waseme ukweli unaweza kucheka sana namna walivyokuwa wanalia.

Anyway! na mm n mwanaume, kwa upande wangu mtongozo mmoja tu na kukubaliwa hauna RADHA kwangu,kwanza nitamkimbia na kumuogopa huyo mwanamke! Usumbufu una RADHA na RAHA yake bhana.
Sawa mkuu kwahiyo mnapenda kusumbuliwa sumbuliwa eenh
 
Kipindi hicho nilikuwa mtongozaji mahiri sana, nikianza kumpigia mwanamke misele hata mwaka mzima sichoki ila nitakapofanikiwa kumgegeda, basi siku hiyo namaliza hasira zangu zote kisha baada ya hao inakuwa ni zamu yake kunihangaikia. Siku hizi nimekuwa domo zogo yaani hata kabla ya kumtokea basi naahirisha mwenyewe...
 
Kwa hiyo moyo ukitetemea na mwili ndio uko serious?? Haahah mkikubaliwa mara moja et sie maharage ya mbeya maji mara moja mkizungushwa ndio kama hivi mbona hamueleweki

Wee Cha msingi to papuchi basi
 
Sawa mkuu kwahiyo mnapenda kusumbuliwa sumbuliwa eenh
Kuna personal differences, kwa upande wangu kiufupi sipendi mwanamke EasyGoing, napenda mwanamke anaejua kuhoji kwa NINI nampenda na awe na maamuzi ya kuchanganua!

Lakini asipoteze sana muda mwingi kuringa na kusumbua, asome nyakati maana nikivchoka nachoka kwel na huwa naamini hanipendi.

Usumbufu kidogo abane kidogo afunguke sana![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna mmoja nilimtongoza nikiwa form 5 nikaja kumla nikiwa chuo 2nd year pale mzumbe
 
sasa ndio unikubalie ili yaishe mm nimetoa isia zangu ww hutaki ntawafuata mpaka wazee wa mtaa wako na mababu zako labda nisiwe nimekupenda
madame akija hapa mwambie nilipita
 
Back
Top Bottom