ngoja niaze na ww uone kama naenda kwa wazazi kufanya nn?Kufanya nini sasa kwa wazazi, hapo anaishi na kaka zake hujatolewa nundu[emoji29] [emoji29]
ngoja niaze na ww uone kama naenda kwa wazazi kufanya nn?Kufanya nini sasa kwa wazazi, hapo anaishi na kaka zake hujatolewa nundu[emoji29] [emoji29]
ww mara ngapKufanya nini sasa kwa wazazi, hapo anaishi na kaka zake hujatolewa nundu[emoji29] [emoji29]
we ni Kama mimi..na hiyo mara tatu kwa muda gani as me mara kadhaa but nikisema leo mpaka feeling zinijie niseme tena inaweza pita mwezi hivo hivo had unakuta unaanza relation na mtu mwez wa tano na mara ya kwanza ulimwambia kipind cha christmass
Hivi bado uko single? Naomba hiyo nafasi isiyokua na mwenyewe.Sawaaa
Huyu bila shaka ana mizizi ya kutosha toka kwa mababu. Iga ufe.unafanyaje hadi wanajileta wenyewe
Haaaa [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niaze na ww uone kama naenda kwa wazazi kufanya nn?
Yaani mie ninasafari zangu eti ukanisimamishe kunitongoza nitakushangaa nakucheka kisha naondoka zanguww mara ngap
Miaka minne si ungesoma engineer mkuu?wewe mara tatu tu unasusa
mi natongoza hata miaka minne na sikati tamaa
Vyote vya nn hivyooMimi ni mara moja tu. Tena namchukua nampeleka date ya nguvu. Dinner swafi.. hotel kali.
Then namwaga ya moyoni, aki reject basi nakubaliana na hali yake.. nitapotea wala hata kaa kunisikia tena.
Akikubali basi pia inakuwa powa, tunaenda next phase...
Kiufupi usiwe king'ang'anizi, mwambie ukweli ili ajue kuwa hutanii.
ndioMiaka minne si ungesoma engineer mkuu?
Thats my style man. Kama hupendi si lazima uikubali.Vyote vya nn hivyoo
Kila mtu na style yake b'n, asitake mfananeThats my style man. Kama hupendi si lazima uikubali.
hebu nijaribu kukutongozaYaani mie ninasafari zangu eti ukanisimamishe kunitongoza nitakushangaa nakucheka kisha naondoka zangu
Na kutafuta hela umuachie nani sasa?watu mnaroho ndogo za uvumilivu...three times???? huwezi kuwa siriaz inabidi utongoze mpk mtongozwaji aone kero
usikate tamaa mapema dude
unamaanisha nini??Na kutafuta hela umuachie nani sasa?
sio kweli "" acha uwongoreal men anatongoza hata miezi
kuna kutongoza halafu kuna kutongoza pale ulipopendasio kweli "" acha uwongo
uko sahihi mkuu ndo hivyo akizingua piga chini.....kila mtu ana jinsi anavyokua madame S hivyo ndio mm nilivyo sijui wengine