Mtongoze mwanamke mara 3 tu akikataa achana nae

Mtongoze mwanamke mara 3 tu akikataa achana nae

Kutongoza mwanamke mmoja mara nyingi (zaidi ya mara 2,3 n.k) ni kipimo tosha kujua kama sio EASYGOING hakuna radha kabisa ikiwa nitatongoza mwanamke akanikubalia siku hiyo hiyo.
 
Hiyo style yako ya kutetemeka ndio imenishangaza tu mkuu, maana wengine wanaweza fikiri labda unaumwa hivyo wakakukataa kwa sababu hiyo ya kutetemeka kwakuhofia una ugonjwa ,
 
Kwa hiyo moyo ukitetemea na mwili ndio uko serious?? Haahah mkikubaliwa mara moja et sie maharage ya mbeya maji mara moja mkizungushwa ndio kama hivi mbona hamueleweki
siyo wote tuko hivyo madam
 
watu mnaroho ndogo za uvumilivu...three times???? huwezi kuwa siriaz inabidi utongoze mpk mtongozwaji aone kero

usikate tamaa mapema dude
ujue maisha yana mambo mengi, yeye kaamua kutongoza mara tatu tu ili apate muda wa kufanya ishu zingine
 
watu mnaroho ndogo za uvumilivu...three times???? huwezi kuwa siriaz inabidi utongoze mpk mtongozwaji aone kero

usikate tamaa mapema dude
We unatongoza mara ngapi ndio unakata tamaa
 
Hiyo style yako ya kutetemeka ndio imenishangaza tu mkuu, maana wengine wanaweza fikiri labda unaumwa hivyo wakakukataa kwa sababu hiyo ya kutetemeka kwakuhofia una ugonjwa ,
Naongea kwa feeling haswa. Hakuna raha kama kutongoza mtu unayempenda for real
 
kuna wanawake wengine ukiwatongoza wakakataa wanamaanisha kweli hawataki, ukiendelea utapoteza muda bure na rasilimali vocha na mb plus kujipatia stress bure.

wengine wanakataa kuzuga tu asije onekana mwepesi, wengine hawajielewi yaani hawana maamuzi wakukubali ama wakatae labda hadi amulize shosti wake kwanza ndipo akukubali au akukatae.

msome mwanamke ukiona anakataa kwa kukukaribisha kiaina, jaribu tena lakini kama anakataa na kukublock msiwasiliane unahangaika naye wa nini.
 
Yaaan unatongoza ,yakwanza, yapili, yatatu??.

Ukitaka usitongoze, wee jipe thaman.

Baba alinambia, siku nilipoacha kuwafuata wanawake nakuanza kuifuata thamani yangu, Mama yako alinifata mwenyewe.

Jipe thaman, wala hutoongea mara mbili.
 
Akikataa Si Unabaka Tu, Huwa Hawasemi, Wala Kuripoti, Hapo tu Ndio Ninapowapendea
 
Back
Top Bottom